Yaliyojiri Birthday Party ya Tanasha , Mama Diamond .

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Wangapi walikua wanasubiria engagement ya tanasha na domo kama mimi ?, by the way nilijuaga wakenya wakogo smart kuliko mademu wa tized, ila now it’s confirmed they are all the same , they are all from the same mother , beautiful little fools .

Sasa Tanasha na uzuri wote huo na u smart wote huo, you are going to build a family with irresponsible father who abandoned three of his kids from different mothers na wewe unapeleka bakuli yako ubebe watoi ukitegemea you will change domo , for what may be? , au tumbo lako linabeba dhahabu mwenzetu?, hizo raha unazozipata wewe na wenzio waliopita wote walizipata, there is nothing special umepewa kwa domo, kama mimba Zari alibeba watoto wawili, wakike na wa kiume, sasa hivi anaishia kutuma pesa tu watoto hawaon . Hamisa nae alibebeshwa na mashauzi kama yote, now amebak akilea mtoto mwenyewe, hata kama anapewa pesa za matumiz still mtoto hapati ile father and son moment ya kuji enjoy kwa raha .

Majuto na vilio utakavyopata ni makubwa kuliko raha za sasa hvi , Zaa na Diamond kwa sababu tu you want to ila sio kusema et utamtuliza au atakupenda zaidi, hata kama yeye akikubali kubadilika na ku Settle, kumbuka there is bitch called Karma, it never sleeps, maumivu na machozi aliyoyasababisha kwa wanawake wengine it will still haunt him, it’s a law of nature hakuna uchawi.

Zari is heart broken right now , sio kwa sababu anampenda sana Diamond , la hasha, she just want the best for her two kids , anataman sana baba watoto wake awe karibu na wanae kivyovyote vile, all mothers can relate ... Zari c kwamba anamtaka sana Diamond coz she has it all in life , and when she got diamond she was ready to settle atengeneze nae Maisha, we all know how this beautiful love story ended.

I’m just sorry for you tanasha , you could have get your own man , mjenge familia yenu, now you have to deal with diamond and her dramatic family , apo bado ujaanza kuonyeshwa ma picha picha ya wanawake wengine, drama za bi Sandra mbona utajuta kumjua Diamond , uzuri familia yake kwa unafiki namba moja, hawanaga urafiki na mtu , ndugu Yao atakapopenda na wao wapo
 
Bila picha hainogi.
 
Warumi a.k.a Copy ya Mange Kimambi.

Yaani mtu unaumizwa na maisha binafsi ya Diamond wakati huo huo kuna ndugu yako wa karibu anayeishi maisha ya ovyo unashindwa kumshauri.

Umezungumzia unafki bila kujua hata wewe ni certified mnafki
 
Nimeamini Pesa ni chakula kilichoiva kina liwa wakati wowote na hakina kiporo
 
njoo nikuweke ndani nikufunge kidomo domo chako cha umbea
 
Haya ndiyo ambayo domo ana yataka. ..endelea kumsaidia kuvuma
 
Wewe imejuaje km diamond atamwacha tanasha? Kwa hiyo we unaujua moyo wa diamond kuliko diamond? Acha umbea wa kipuuzi na akili yako kushikiwa na mange kimavi yaani mangekimambi amewafanya misukule wake
 
Tofauti kati ya Zari na Hamisa ni kwamba wote walikua na watoto kabla ila huyu ni fresh from the kitchen hajazaa mtoto kabla kwaio Diamond ndo anazaa wakwanza nae hivyo possibility ya Diamond kubadilika ipo
 
Warumi a.k.a Copy ya Mange Kimambi.

Yaani mtu unaumizwa na maisha binafsi ya Diamond wakati huo huo kuna ndugu yako wa karibu anayeishi maisha ya ovyo unashindwa kumshauri.

Umezungumzia unafki bila kujua hata wewe ni certified mnafki

Maisha bila unafik hayaend binamu , lol
 
Tofauti kati ya Zari na Hamisa ni kwamba wote walikua na watoto kabla ila huyu ni fresh from the kitchen hajazaa mtoto kabla kwaio Diamond ndo anazaa wakwanza nae hivyo possibility ya Diamond kubadilika ipo

Hahaha, zile za mwanzo zilianza akiwa handicapped, ila hii yeye ndiye amem-handicap mwenzake. (-3) vs (0).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…