Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uandishi wa kisasa huu hata mimi unanikanganya. sijui walimu wa kiswahili hasa sura za insha wanakosea wapi jamani. loooh!
Mmh shoga kumbe Vera mbaya vile , yan bora angebak na weupe wake tu kwa kweli , Ana sura mbaya
Miss u
Jamani kitambooo
Bila picha hainogi.
Wangapi walikua wanasubiria engagement ya tanasha na domo kama mimi ?, by the way nilijuaga wakenya wakogo smart kuliko mademu wa tized, ila now it’s confirmed they are all the same , they are all from the same mother , beautiful little fools .
Sasa Tanasha na uzuri wote huo na u smart wote huo, you are going to build a family with irresponsible father who abandoned three of his kids from different mothers na wewe unapeleka bakuli yako ubebe watoi ukitegemea you will change domo , for what may be? , au tumbo lako linabeba dhahabu mwenzetu?, hizo raha unazozipata wewe na wenzio waliopita wote walizipata, there is nothing special umepewa kwa domo, kama mimba Zari alibeba watoto wawili, wakike na wa kiume, sasa hivi anaishia kutuma pesa tu watoto hawaon . Hamisa nae alibebeshwa na mashauzi kama yote, now amebak akilea mtoto mwenyewe, hata kama anapewa pesa za matumiz still mtoto hapati ile father and son moment ya kuji enjoy kwa raha .
Majuto na vilio utakavyopata ni makubwa kuliko raha za sasa hvi , Zaa na Diamond kwa sababu tu you want to ila sio kusema et utamtuliza au atakupenda zaidi, hata kama yeye akikubali kubadilika na ku Settle, kumbuka there is bitch called Karma, it never sleeps, maumivu na machozi aliyoyasababisha kwa wanawake wengine it will still haunt him, it’s a law of nature hakuna uchawi.
Zari is heart broken right now , sio kwa sababu anampenda sana Diamond , la hasha, she just want the best for her two kids , anataman sana baba watoto wake awe karibu na wanae kivyovyote vile, all mothers can relate ... Zari c kwamba anamtaka sana Diamond coz she has it all in life , and when she got diamond she was ready to settle atengeneze nae Maisha, we all know how this beautiful love story ended.
I’m just sorry for you tanasha , you could have get your own man , mjenge familia yenu, now you have to deal with diamond and her dramatic family , apo bado ujaanza kuonyeshwa ma picha picha ya wanawake wengine, drama za bi Sandra mbona utajuta kumjua Diamond , uzuri familia yake kwa unafiki namba moja, hawanaga urafiki na mtu , ndugu Yao atakapopenda na wao wapo
Hapa warumi ndio unaniachaga hoi, hivi mwanamke Malaya kama zari, kumwacha Ivan ndani, na watoto wakubwa vile akaenda kulaya na mdogo wake diamond hivi hizi ni akili au matope?
Mbaya zaidi akaona arudi kwa ivan apate mtoto Wa kiume amchomeke kwa diamond kisa kitanda hakizai haramu.
Zari kwa diamond hawezi Ku move on trust me.anamtaka kuliko unavyodhani coz anapenda show off za kijinga.
Nb. Sikiliza wimbo wa inama vizuri ndo utajua diamond ana watoto wa ngapi kwa zari.
Mengine yote uko sawa kwa kiasi . who knows? Things change tanasha can make it.