The Worshiper
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 302
- 89
Wanawake waliokuwa wajumbe wa BMK wamewaangusha wenzao.Wengi walikuwa hawajitambui walichokuwa wanafanya na kilichowapeleka bungeni.Ndiyo maana baada ya kupatikana kwa 2/3 walifurahi na kushangilia wasichokifamu,kuimba taarabu na mipasho
Hawajui Mambo yao mengi yaliyoingizwa kwenye katiba ilikuwa nikuwawin tu sababu ya uwingi wao lakini ni danganya toto.Wao waligeuzwa mtaji ili tu ipatikane akidi na watumike katika kuwashawishi wanawake wenzao ili waje kuipitisha baadaye.
Inashangaza wao kama waathirika wakubwa katika harakati mbalimbali za kimaisha kufurahia na kuiunga mkono katiba eti tu kwasababu imetaja asilimia 50/50 na wanaume.vipi kuhusu wenzao wanaoteseka vijijini? vipi kuhusu vijana na watoto wao? Vipi kuhusu uzazi na afya zao? Je ni kwasababu wao wako mijini wamewasahau wenzao wanaoteseka vijijini!
Katika siasa za Tanzania CCM huwaweka wanawake madarakani ili kuwatumia kwa maslahi ya kisiasa tu na si vinginevyo,huwatumia kwakuwa kwakuwa wao ni rahisi kupokea maelekezo tu bila kuhoji(Chunguza wote utaona).Huongozwa kwa Remote.
Wanawake walipaswa kutazama maslahi mapaya ya nchi na si mambo yao tu kwa kuwa wao ndiyo huwa wahanga wakubwa wamatukio mengi yanayoikumba jamii.Wao ndiyo wangekuwa wa kwanza kuipinga.
Sasa hivi tayari katiba hii imeshaleta mgawanyiko mkubwa ambao wao pia wamechangia.Chochote kibaya kikitokea wajue kuwa wao watakuwa wahanga wa kwanza.