kasongo abisina
Member
- Dec 9, 2013
- 31
- 9
MKuu, kilio chako kinaeleweka. Kwa kifupi hujaridhishwa na kilicho afikiwa na Bunge Maalum la Katiba.
Hata hivyo, kwa mtazamo wangu ume wa-"single out" wanawake kama watu ambao si wa kuaminiwa.Kwa maoni yako lakini.
Swali la muhimu: Ni wanawake pekee waliopiga kura katika BMK ili kuzipata theluthi mbili zilizotakiwa?
Linganisha idadi ya wanawake katika BMK dhidi ya ile ya wanamaume; kimantiki wanaume "sisi" ndiyo ambao si wa kuaminiwa kabisa....
Rejea nukuu moja wapo ya mwenyekiti wa Baraza hilo, Mh.Sitta alimwambia mke wake,"Ungekosea hiyo, ungepata taabu sana".
Nadhani anamaanisha zaidi ule ushangiliaji ulioonekana. Infact wanawake walio wengi hasa viti maalum huwa wapiga makofi,wazomeaji na waitikiaji wa ndiyoo!