Hivi nyie huko dodoma mnajuwa kuwa mnatukera sana?
Haki ya nani ngoja tuje huko na bakora tu ndo mtaelewa kuwa tumewachoka.
Mnakula pesa yetu for nothing.......... grrrrrrp!!!!!!!!!!
Mimi nawajuza kinachoendelea jamani, suala la ni halali Bunge liendelee au la nadhani tungewauliza UKAWA waliokutana na Rais na kukubaliana liendele, huwenda wameona kuna sababu za msingi kwa Bunge kuendelea
Majadiliano ya Taarifa za Kamati za Bunge Maalum la Katiba yanaendelea leo tarehe 11/09/2014 na siyo tarehe 12/09/2014 kama nilivyoandika kwenye kichwa cha mada.
nimekupendajeeeee..........hivi nyie huko dodoma mnajuwa kuwa mnatukera sana?
Haki ya nani ngoja tuje huko na bakora tu ndo mtaelewa kuwa tumewachoka.
Mnakula pesa yetu for nothing.......... Grrrrrrp!!!!!!!!!!
Nani atusaidie watanzania
Pesa yetu inaliwa tu bure
Wanasiasa wameamua kutudhulumu pamoja na umaskini wetu
Ila sisi watanzania wajinga mno
Tutaishia kuongea tu
Hawa itabidi wakitoka huko bungeni watafute kisiwa chao wakaishi huko,
la sivyo warudi na hela zetu mkononi.