Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi nyie huko dodoma mnajuwa kuwa mnatukera sana?
Haki ya nani ngoja tuje huko na bakora tu ndo mtaelewa kuwa tumewachoka.
Mnakula pesa yetu for nothing.......... grrrrrrp!!!!!!!!!!
Hawa itabidi wakitoka huko bungeni watafute kisiwa chao wakaishi huko,
la sivyo warudi na hela zetu mkononi.
Mamndenyi mbona siku hizi nazidi kukupenda.
Watanzania huu uwoga sijui tumeridhi toka wapi mijitu inakula hela ovyo, kujadili katiba isiyopatikana,na wakifika kwenye majimbo yao wataonekana wafalme wanalakiwa kama majemadari wamerudi toka vitani kumbe wahujumu uchumi wakubwa hao.
Hawajitambui, wasamehe bure.Hivi nyie huko dodoma mnajuwa kuwa mnatukera sana?
Haki ya nani ngoja tuje huko na bakora tu ndo mtaelewa kuwa tumewachoka.
Mnakula pesa yetu for nothing.......... grrrrrrp!!!!!!!!!!
Edit heading yako kaka, leo ni tarehe 11 Sept.....
Na hayo mapenzi mbona siyaoni sasa.