Katika hali isiyotarajiwa na Wabunge wengi na Watanzania kwa ujumla Mbunge wa Bunge la muungano pia mbunge wa Bunge maalum la Katiba AMINA ABDALLAH AMOUR; ametoa siri kwamba ameachika wakati akijinadi kwa wajumbe wa Bunge maalum wa Katiba akiomba ridhaa ya kuwa makamu mwenyekiti wa bunge la katiba leo tarehe 13.03.2014 saa1032jioni,baada ya jana bunge hilo maalum kumchagua MH. Sita kwa kura nyingi za ushindi. kweli nimeamingi uongozi unaweza kumfanya mtu akatoa siri zake zote pole sana MH.AMINA ABDALLAH AMOUR