Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi Tarehe 13 Machi 2014 - Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti

Swali kutoka kwa Jafo...... Kama mama,utatuwezeshaje vijana kwenye mchakato ili tuwe na nafasi Bungeni......Jibu.....vijana watapewa nafasi.......Swali: umejifunza nini kutoka kwa Kificho?....jibu; amejifunza umakini katika bunge, utulivu, na ustahamilifu....no swali.....anaenda kukaa.....Kificho: sasa ni wakati wa kura; masanduku yaletwe, na kuanza ukaguzi, then kupiga kura.....
 
...wakuu' "Simiyu Yetu" na "Chabruma" naomba nyie mlio karibu na huyu bibie! MUULIZENI! "Amina, amesema yeye AMEACHIKA na ataki kupoteza muda, yeye anataka MASWALA! maswala gani hayo?
Ha haha ha ha ha ha ha ha! Mkuu nikipata mda wa kumsogelea nitamuuliza atwambie vema maswala anayotaka.
 
Wanawake hawa wote wanajiamini na nimewapenda majibu yao ni short and clear!wametuwakilisha vema wanawake
 
kbm,

Waarab hao wanatokea wapi? Chuki za Waarabu zitawatokea makalioni. Si waarabu hao hao mliokwenda kwao kwa makundi waje wawajengee Bandari ya kisasa kule Mtwara. Waarabu hao hao ndio mnapanda ndege zao mkienda kutafuta magari machakavu kule Dubai, Waarabu hao hao ndio mnawaomba wawatoleee scholarships za kusoma nje?

Mliokosa fadhila nyinyi, laana ya Mungu itwashukiq iwajaze maradhi yenu ya chuki mukate roho kwa ugumu na maumivu makuu.😡 Ivyo nyinyi mnajifanya Wayahudi weusi hali hao wayahudi wanwachukia.nyinyi kuliko kinyeai chao.
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli namfagilia sana huyu mama. Anajiamini sana na labda uzoefu wake kwenye serikali unamfanya ajiamini sana
Kweli amehudumu kwenye wizara kwa mda mwingi anauzoefu wa kutosha kabisa.
 
Zoezi la kupiga kura linaendelea wakuu kwa sasa limevuka robo ya wajumbe.
 
Mpunguze kuachika
Mkuu, kwa bahati mbaya ni kwamba hajatuambia kwa nini aliachika. Labda ni baada ya kuteuliwa kuwa mbunge wa viti maalum maana wakati wa semina kuna mbunge mzanzibari alisema kuwa kwa zanzibar ukiwa mbunge basi unahatarisha ndoa yako
 
Naaam namuona mtikila akipiga kura
 
Mchungaji mtikila akipiga kura
 

Attachments

  • image.jpg
    747.2 KB · Views: 95
Wadau, tusameheane kidogo kuna tatizo la network huku Dodoma
 
Uchaguzi unaendelea. Naona CCM wamejipanga kuhakikisha Muungano unabakia kuwa Imara. Kwa kupitishwa kwa Samia ambaye ni Waziri wa Muungano, atahakikisha Muungano unabaki tena wa Serikali 2 maana hayupo tayari kuachishwa Uwaziri wake mara baada ya Bunge la Katiba au hata kabla. Tutarajie Katiba ya CCM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…