Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi Tarehe 13 Machi 2014 - Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi Tarehe 13 Machi 2014 - Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti

Matokeo:

Jumla ya kura zilizopigwa: 523
Kura zilizoharibika: 7
Samia Suluhu kura 390
Amina Abdallah kura 126

na mshindi ni Samia Suluhu
 
Matokeo kamili haya hapa:
Jumla ya wajumbe = 629
Waliopiga kura = 523
Kura zilizoharibika = 7
(1.3%)
Amina Amour = 126 (24.1% )
Samia Suluhu = 390 (74.6% )

Mshindi wa matokeo ya naibu mwenyekiti ni SAMIA SULUHU.
 
Kificho anamkaribisha Amina Abdallah kutoa neno la shukrani
 
Zoezi la kupiga kura limemalizika na Esther Salaya ameteuliwa kumwakilisha Amina Abdallah Amour kwenye zoezi la kuhesabu kura huku Mheshimiwa Vita Kawawa akiteuliwa na mama Samiha Suluhu

Sakaya siyo Salaya mkuu!!
 
Anakuja Samia Suluhu kusema machache, aaa namwona Amina anakimbia hadi kwa Lipumba kisha anamkumbatia na anarejea ktk nafasi yake
 
Kuna vichaa saba mle ambao kazi yao ni kuharibu kura tu, tangu wazaliwe. Nyambaafu.
 
Kama nilivyosema hapo awali nyimbo na vigelegele vinaanza kusikika 'wanawake na umoja ee wanawake na umoja ee', sauti ya baadhi ya wanawake
 
Mkuu Skype, umepata matokeo? Angalia updates hapo juu
 
Tathmini fupi,kuna wajumbe 7 ambao hawakubaliani na kinachofanyika bungeni nadhani kuna haja ya mid evaluation kuweza kujua ni wapi kuna kasoro na kutatua ili tusonge mbele vzr.Pia inaonesha mijadala itakayohitaji maamuzi ya kura hili kundi la watu 300+ nataraji kuibuka mshindi na hapa ndipo mgogoro utaibuka kwani mambo yenye maslahi kwa umma yatapigiwa kura ya kukataliwa na wanaoamini maslahi hayo ni muhimu kwa umma watatoka nje na kuweza ht kuamua kubeba makaratasi yao na kurudi nayo huku kwa wananchi,nami nitawaunga mkono
 
Kama nilivyosema hapo awali nyimbo na vigelegele vinaanza kusikika 'wanawake na umoja ee wanawake na umoja ee', sauti ya baadhi ya wanawake
Mkuu Skype, hakika matokeo haya niliyaona toka jana
 
Hawa 7 ni wapu...uuu.zi gani hawaa,kila uchaguzi wanaharibu kura,yaani majitu yamevaa suti,yapo smart lakini ovyoooo!!!Kwetu Upangwa Ludewa tunawawekea ”tego“,ukiharibu kura tego linawapitiiia ukoo mzima,ni kuja...amba tu,ukihema kij.a.mbo,ukicheka kijaaambo...wa..shenzi.sana hawa,unaharibu kura??
 
Samia anampongeza Amina kwa ujasiri, kisha anaanza kumshukuru kificho, anamshukuru na kumpongeza Sitta, na anawaahidi wajumbe kua atakua mwadilifu, amemaliza ila vinyimbo vinaendelea kusikika hapa
 
Back
Top Bottom