Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi Tarehe 13 Machi 2014 - Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi Tarehe 13 Machi 2014 - Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti

Tusubiri Samia arubuniwe kama Makinda, wampindue tena, maana ccm ni majanga.
 
Wakuu hili zoezi limekwisha ni Samia Suruhu sasa kifuatacho ni kiapo tu.

Watanzania wakae mkao wa kulipa kodi ili watu wapate posho zao lakini kama ni katiba mpya wasahau. Nanusa mgawanyiko mkubwa wa kitaifa.
 
Tathmini fupi,kuna wajumbe 7 ambao hawakubaliani na kinachofanyika bungeni nadhani kuna haja ya mid evaluation kuweza kujua ni wapi kuna kasoro na kutatua ili tusonge mbele vzr.Pia inaonesha mijadala itakayohitaji maamuzi ya kura hili kundi la watu 300+ nataraji kuibuka mshindi na hapa ndipo mgogoro utaibuka kwani mambo yenye maslahi kwa umma yatapigiwa kura ya kukataliwa na wanaoamini maslahi hayo ni muhimu kwa umma watatoka nje na kuweza ht kuamua kubeba makaratasi yao na kurudi nayo huku kwa wananchi,nami nitawaunga mkono

Nawapongeza sana hao wajumbe 7! Hawawakubali kabisaaa wagombea wa ccm!
 
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1668.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Samia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Hassan[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Suluhu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Makunduchi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O. Box 3021, Dar Es Salaam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 774 010 203/+255 784 717 712[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]ssuluhu@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]27 January 1960[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Open University Southern New Hampshire, USA[/TD]
[TD="align: center"]M.A[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Manchester University, London[/TD]
[TD="align: center"]Postgraduate[/TD]
[TD="align: center"]1992[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]POSTGRADUATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Institute of Development Management, IDM, Mzumbe (Morogoro)[/TD]
[TD="align: center"]Advanced Diploma[/TD]
[TD="align: center"]1983[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]National Institute of Public Administration, Lahore Pakistan[/TD]
[TD="align: center"]Course[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Institute of Management for Leaders, Hyderabad, India[/TD]
[TD="align: center"]Management Course[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Zanzibar Institute of Financial Administration, ZIFA[/TD]
[TD="align: center"]Statistics[/TD]
[TD="align: center"]1983[/TD]
[TD="align: center"]1983[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ngambo SecondarySchool, Unguja[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1973[/TD]
[TD="align: center"]1975[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lumumba Secondary School, Unguja[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1976[/TD]
[TD="align: center"]1976[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chwaka Primary School, Unguja[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1966[/TD]
[TD="align: center"]1968[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ziwani Primary School, Pemba[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1970[/TD]
[TD="align: center"]1971[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mahonda Primary School, Unguja[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1972[/TD]
[TD="align: center"]1972[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name[/TH]
[TH="align: center"]Position[/TH]
[TH="align: center"]From[/TH]
[TH="align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member - Makunduchi Constituency[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry of Tourism, Trade and Investment, Zanzibar[/TD]
[TD]Minister[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry of Labour, Gender Development and Children[/TD]
[TD]Minister[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwamvuli wa NGO[/TD]
[TD]Managing Director[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]1999[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Revolutionary Government of Zanzibar[/TD]
[TD]Planning Officer[/TD]
[TD="align: center"]1987[/TD]
[TD="align: center"]1988[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]World Food Programme, WFP - Zanzibar[/TD]
[TD]Project Manager[/TD]
[TD="align: center"]1985[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Revolutionary Government of Zanzibar[/TD]
[TD]Typists (Typing Pool)[/TD]
[TD="align: center"]1977[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Guardian (Warden) - North Unguja Region[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Guardian (Warden) - North Pemba Region[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Member - National Executive Committee (NEC)[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Wadau mimi naona km Samwel J.Sitta anayo kazi kubwa sana maana ameshinda na kuaminiwa kwa kishindo karibu na kila mtanzania ila nature na composition ya bunge hili ni km haitabiriki. Km kanuni tu wamerushiana matusi je rasimu yenyewe?.Pamoja na majigambo ya Sitta mimi naona kazi anayo,wakuu mnasemaje kuhusu hili?
 
Hilo lipo wazi...tayari jana alishaonesha ana misimamo inayopingana na wadau wengi wa Tanganyika. Pia kwa busara, uvumilivu na unyenyekevu bado hamfikii huyu mzee Pandu Ameir Kificho. Kumbuka CCM watakuwa wanamuangalia kwa jicho la tatu kwa kuwa ni mtu aliyewahi kuwaumiza....ana mgandamizo mkubwa sana unaotoka pande zote....sioni uwezekano wa yy kuwa yule wa bunge la tisa.
 
ndio wale wale tu. Mungu jalia na tuepushe na hila chafu za hawa takataka wanuka midomo wa ccm. amen
 
Kama kweli hawa viongozi wataongoza kutokana na matakwa ya makundi yao hatutapata katiba inayoweza kusihi miaka 50 ijayo.ila na hivyo vyama vina utofauti kweli humo humo ndani.kwani wakati wa kumchagua spika 2010 walisema lazima awe mwanmke tena dakika za mwisho maana hata wanaume walioambiwa wajibadilshe jinsia wakati wameishachukua form na kulipia gharama haikuwama? anyway acha tuone mzee wa viwango na speed atatufisha wapi tumuombe mungu awape hekima na busara hawa viongozi wetu.
 
kwa habari
nilizonazo sasa Thomas Kashilila ameteuliwa kuwa naibu katibu mkuu wa bunge la katiba na jamaa wa zanzibar ndiye katibu mkuu
 
Toka mwanzo sikushabikia sana huu mchakato wote kuanzia kwa Warioba hadi kwenye hili bunge la katiba na nilijua CCM,na timu yake inatupaka mafuta ya mgongo,kifupi angalieni walivyojipanga kuanzia Kificho,Samia na Sitta wote ni kutoka CCM na kwa maksudi hakukiwekwa kipengele cha kusema kwa mwenyekiti akitoka Chama A,makamu atoke Chama B,Spika atoke chama C,au kuwa kura itakuwa ya siri.Kwa kifupi hakuna kitu watu wameenda kula raha,na wakirudi huko wengine tayari watakuwa wazee wa MICHEPUKO, ni kuoana na kupata wapenzi ,nendeni pale Chako Changu na kwenye mabaa,Guest na hoteli huko ni vituko juu ya vituko,wengine hata makabrasha yamekuwa mapambo.
 
Back
Top Bottom