kookolikoo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 2,780
- 673
Mtikila leo asubuhi wakati wa kupitisha kanuni za Bunge maalum asimama na kumtaka M/kiti wa muda Bunge maalum la katiba,A.Kificho ampe nafasi ya kusema.Amwambia anambagua,hamtendei haki.
kwa hiyo mwenyekiti wa bunge la katiba kesho atachaguliwa kwa kura ya wazi?
Mkuu Chabruma, Kama wamepitisha kanuni hizo bila ya kuamua namna gani kura itapigwa, nafikiri wameahirisha tatizo tu. Ni muhimu saana kanuni zingeweka wazi kuwa : Maamuzi yataamuliwa kwa kupiga kura ya siri (au wazi) kulingana na makubaliano kuliko hivi walivyoiacha. Kimsingi nafikiri kama wameshndwa kuamua juu ya suala hili basi sheria iliyoanzisha bunge la katiba inatakiwa ifuatwe ambako imeeleza kuwa kura ya siri ndio itatumika.
Mtikila leo asubuhi wakati wa kupitisha kanuni za Bunge maalum asimama na kumtaka M/kiti wa muda Bunge maalum la katiba,A.Kificho ampe nafasi ya kusema.Amwambia anambagua,hamtendei haki.
Mkuu, labda ni katika kuleta maridhiano maana kama wakiamua iwe ya siri au ya wazi, ni wazi kuwa watakuwa wamevuruganaHivi hao watu hizo kanuni bishani zinawashinda kuelewana kivipi? mpaka sasa nimesha loose trust na wanachokifanya huko bungeni. Hawa watu waoga si sijui kwa nini huwa wanapata bahati ya kwenda huko bungeni
Mtikila leo asubuhi wakati wa kupitisha kanuni za Bunge maalum asimama na kumtaka M/kiti wa muda Bunge maalum la katiba,A.Kificho ampe nafasi ya kusema.Amwambia anambagua,hamtendei haki.