kookolikoo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 2,780
- 673
Mtikila leo asubuhi wakati wa kupitisha kanuni za Bunge maalum asimama na kumtaka M/kiti wa muda Bunge maalum la katiba,A.Kificho ampe nafasi ya kusema.Amwambia anambagua,hamtendei haki.
Ametengeneza mazingira ya kumtisha mwenyekiti ajaye ili ampe nafasi ya kuzungumza kila atakapoihitaji.