shingwengwe
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 1,152
- 125
Mkuu, binafsi siamini kama kamati ya mashauriano imeshindwa kazi. Unajua hili suala la katiba mpya ni suala la maridhiano na si kutaka kujionesha nani ni mshindi. Pia mashauriano hayawezi kufanyika kwa fast tracking kwani mwisho wa siku mnakuja kukimbiana. Ukumbuke kuwa hawa wanasiasa hawaaminiani hata kidogo.Kamati ya mashauriano imeshindwa kazi kwa nini Kifungu cha 37 na 38 kuhusu uamuzi wameacha wazi
Nilitaka kulitumia hilo jina.Jinsi huyo shujaa Alivyotutendea Wangoni nilidhani sitolitendea haki! Je,analitendea?Mkuu Chabruma, ubarikiwa sana!. Jee unamjua huyo mwenye hilo jina la Chabruma na alifanya nini?!.
Pasco
Mkuu jambo hilo lilijitokeza jana. Mwalimu Ezekiel Oluoch alitoa mapendekezo hayo. Ila swali likaja kwa nini tutumie kura ya siri kuamua aina ya upigaji kura? Kwa ninimisiwe kura ya wazi kuamua aina ya upigaji kura? Ni kutokana na mazingira hayo ndipo uamuzi wa kamati ya mashauriano ulipoonekana una mantikikura ya siri au ya wazi nashauri ipigiwe kura ya siri hapo suluhisho litapatikana
Mkuu, imekuwaje tena? Kwenye suala la Katiba, watanzania ni wamoja.
Hodi Hodi Wadau wote wa Mtandao wetu pendwa, mtandao nambari one Tanzania, mtandao usio na mafungamano yoyote, Mtandao wa Jamiiforums! Natumaini kuwa leo mmeamka salama bukheri wa afya njema. Wale wote ambao kwa bahati mbaya hali zao kiafya si nzuri basi tuwaombee kwa Mwenyezi Mungu awajaalie wapate nafuu ili angalau wapate fursa ya kuchungulia humu juu ya yale yanayoendelea Bungeni Dodoma. Na kama kuna waliotangulia mbele za haki, basi tuwaombee kwa Mwenyezi Mungu awajaalie makazi mema huko.
Wadau, kwa siku ya leo kama Mwenyekiti Pandu Amir Kificho alivyotangaza jana ni kuwa Bunge Maalum litaanza saa 3 kamili asubuhi na kazi itakuwa moja tu ambayo ni KURIDHIA RASIMU YA KANUNI ZA BUNGE MAALUM baada ya kusomwa kwa AZIMIO na Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni Prof MAHALU. Kwa leo tutarajie hali ya utulivu kuendelea kutamalaki hasa kutokana na jitihada kubwa zinazofanywa na Kamati ya Mashauriano ambayo kiukweli imefanikiwa kuweka mazingira ya utulivu Bungeni.
Kama Kawaida, natarajia kupata ushirikiano kutoka kwa wadau wetu mbalimbali waliopo ndani na nje ya nchi. Kwa upekee kama kawaida Mkuu Skype pamoja na Mheshimiwa Simiyu Yetu watakuwa wanatoa ushirikiano uoahitajika. Stay aconnected
Sahihisho dogo ni kuwa ktk Kiswahili neno 'hongera' halina wingi, kwa hiyo hakuna 'hongereni'.Pamoja sana Mkuu. Hakika mmeufanya mtandao huu kuwa mbele ya vyanzo vingine vya habari hapa nchini katika suala hili la Katiba mpya. Yaani hata mtu asipoangalia TV au kusikiliza Radio, anapata kile kinachojiri kwa wakati. Hongereni sana wakuu
hii mada ina harufu ya upuuz flani wa kishabiki!
Kura ya siri ni ya kumchagua mtu, siyo ya kufanya maamuzi ya Bunge. Ni hivyo ulimwenguni kote.Bila kupitisha kanuni juu ya jinsi ya kipiga kura ni upuuzi mtupu!kikao bila maamuzi ni upuuzi pia.CCM kwa nini hamtaki kura ya siri?hivi mtathubutu kuja kutuambia wananchi KURA NI SIRI YAKO?CHAGUA MGOMBEA UNAYEMTAKA.hamna uchungu na kodi zetu karibu mwezi sasa mnajadili kanuni tuu
Mkuu, Ole Sendeka hajambo na amejaa tele. Ile kanuni ya upigaji kura ilishapita baada ya kufanyika marekebisho kidogo. Kwamba badala ya kusema kuwa maamuzi yataamuliwa kwa kura ya siri, imeandikwa kuwa yataamuliwa kwa kupiga kura ambayo itaamuliwa na Bunge amaalum. Ni hayo tu mkuu
Mkuu hiyo avatar yako itatufanya wanaume tuandamane,hilo jengo liko mji gani?Hodi Hodi Wadau wote wa Mtandao wetu pendwa, mtandao nambari one Tanzania, mtandao usio na mafungamano yoyote, Mtandao wa Jamiiforums! Natumaini kuwa leo mmeamka salama bukheri wa afya njema. Wale wote ambao kwa bahati mbaya hali zao kiafya si nzuri basi tuwaombee kwa Mwenyezi Mungu awajaalie wapate nafuu ili angalau wapate fursa ya kuchungulia humu juu ya yale yanayoendelea Bungeni Dodoma. Na kama kuna waliotangulia mbele za haki, basi tuwaombee kwa Mwenyezi Mungu awajaalie makazi mema huko.
Wadau, kwa siku ya leo kama Mwenyekiti Pandu Amir Kificho alivyotangaza jana ni kuwa Bunge Maalum litaanza saa 3 kamili asubuhi na kazi itakuwa moja tu ambayo ni KURIDHIA RASIMU YA KANUNI ZA BUNGE MAALUM baada ya kusomwa kwa AZIMIO na Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni Prof MAHALU. Kwa leo tutarajie hali ya utulivu kuendelea kutamalaki hasa kutokana na jitihada kubwa zinazofanywa na Kamati ya Mashauriano ambayo kiukweli imefanikiwa kuweka mazingira ya utulivu Bungeni.
Kama Kawaida, natarajia kupata ushirikiano kutoka kwa wadau wetu mbalimbali waliopo ndani na nje ya nchi. Kwa upekee kama kawaida Mkuu Skype pamoja na Mheshimiwa Simiyu Yetu watakuwa wanatoa ushirikiano uoahitajika. Stay aconnected
Ni kweli mkuu Watanzania tu Wamoja, ila kuna kundi la kishetani liitwalo ccm wana umoja wao japo wanangangania kuishi Tanzania
Nakushukuru mkuu kwa taarifa unazoendelea kutuletea humu jf kutoka dom,Asubuhi nimeangalia ITV
ambapo nimeshuhudia Mh.Lukuvi akishauri waendelee na bunge la katiba,kwani vipengere vya 37 na 38 vitatumika mwishoni hivyo vitapata ufumbuzi baadae,ameungwa mkono na waziri Simbachawene.
Mimi ktk hili nina maoni tofauti,
Naona si sahihi kukubaliana na hili coz vipengere hivyo vitatumika kila mahali patakapoleta kutoelewana,lazima pataamuliwa kwa kura.sasa kama tutasema hivo vipengere si muhimu ,tunatengeneza mtafaruku mkubwa utakaudumu mpaka mwisho wa bunge na pengine tusifikie mwisho.
Napendekeza,kwa kuwa nchi bado ina katiba,tuangalie katiba ya sasa inasemaje kuhusu jambo lenye mvutano linaamuliwaje? tuifuate ili kutatua mzozo huu uliodumu sana kwenye vikao hivi.
Katiba inapendekeza demokrasia ya kutumia kura ya siri,hivyo basi wabunge wa bunge maalu, watumie kura ya siri kuamua mfumo wa kupiga kura utakaotumika kuandaa katiba.Wapige kura ya siri
Kura zitakazoshinda tutumie mfumo huu badala ya kuendelea kuvutana bila tija huku fedha ya walipakodi ikiendelea kutumika.
Kura ya siri ni ya kumchagua mtu, siyo ya kufanya maamuzi ya Bunge. Ni hivyo ulimwenguni kote.
This is true, nikianza kupitia update utafikiri na cheki tv live, big up ndugu zangu mnaotupa hizo update mkiongozwa na chabruma. Ushauri mnaotumia lugha za matusi na kejeli ni vyema kuachaPamoja sana Mkuu. Hakika mmeufanya mtandao huu kuwa mbele ya vyanzo vingine vya habari hapa nchini katika suala hili la Katiba mpya. Yaani hata mtu asipoangalia TV au kusikiliza Radio, anapata kile kinachojiri kwa wakati. Hongereni sana wakuu