Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 11 Machi 2014

CCM si wanajidai kutumia uwingi wao,vp waogope kura ya siri?#TeamKuraWazi#
Mkuu, ni kweli kabisa. Ila kwenye mchakato huu wa Katiba, suala la maridhiano ni jambo jema
 
Mwenyekiti anamkaribisha Prof Lipumba kusema machache kabla ya kusoma Azimio
 
Mtu wa kwanza ni kificho sijui kifiche huyu anastahili achapwe za kichwani kwa kuliendesha bunge kama mgahawa wa urojo na shida ni yeye na wenzie wako nyoronyoroooo
 
Mtu mzima hachapwi viboko dawa yao ni kuwaanika hadharani upuuzi waufanyao kama magazeti yafanyavyo. Isitoshe, bunge hili livunjwe maana waneshindwa kazi. Tushinikize hili kwa njia ya kura ya maoni katika mtandao.
 
Lipumba anasema kuwa wabunge wameaipitia na wamejiridhisha kuwa ni nzuri
 
Lipumba anasema kuwa Rasimu ya akanuni imetoa kinga ya kutosha kwa wqbunge hivyo anawashawishi wabunge kupokea Azimio na kuridhia kanuni hizo
 
Spika Makinda atatoa utaratibu kuwa Lisomwe kwanza Azimio, wabunge waridhie, watoe maoni yao namhatimaye wapige kura. Utaratibu umepokelewa na sasa amwenyekiti wa Kamati ya Kanuni anasoma Azimio
 
Wadau hili bunge linanikera sana! Walah kuna watu mle ndani ningewaona hadharani lazima wangechezea kichapo!
Hatuwezi kuwa wajinga kiasi hicho then tukatarajia kupata katiba bora! hizo ni ndoto za mchana!
 
Mkuu Chabruma kwanza
asante kwa kazi nzuri unayoifanya ya kutujunza kinachoendelea toka Dom, Pili kuwa mwawazi tuu na ukubali kuwa wewe ni mmoja kati ya wageni wanaokaa viti vilivyopo pembeni/nje ya wajumbe wa bunge maalumu (maalumu kwa wasikilizaji)

Juzi nilipokuambia kuwa wewe sio mmoja kati ya wajumbe ulinibishia, japo kuwa mbunge wa kuteuliwa na JK is not an ensue.

Kwa wale wanaojua kusoma picture (photo graphic/ photo rider) wanaelewa kuwa mleta mada, kwa kusoma picture hizi yupo ndani au nje ya ukumbi ?

 
Spika Makinda atatoa utaratibu kuwa Lisomwe kwanza Azimio, wabunge waridhie, watoe maoni yao namhatimaye wapige kura. Utaratibu umepokelewa na sasa amwenyekiti wa Kamati ya Kanuni anasoma Azimio

Uzoefu wa huyu mama unahitajika sana
 
Yote kwa yote tunamshukuru mkuu Chabruma kwa kazi nzuri humu Jamvini.
 
Last edited by a moderator:
Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni anasema kuwa suala la upigaji kura linaendelea kushughulikiwa na litawekwa kwenye kanuni husika baada ya kushughulikiwa
 
Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni anasema kuwa suala la upigaji kura linaendelea kushughulikiwa na litawekwa kwenye kanuni husika baada ya kushughulikiwa
Dana dana hzo mpaka lini?
 
Mkuu wa Kaya kwanza naomba nikusahihishe kuwa hakuna mahqli nimejiita kuwa ni mjumbe wa Bunge Maalum. Juzi nilikujibu kuwa mie si mbunge. Nipo hapa kwa lengo moja tu la kuhudhuria kikao cha Bunge kwa muda Mungu atanijaalia. Nilisema kuwa Simiyu Yetu ndo mbunge kwa mujibu wa maelezo yake. Hata ukiangalia picha zote ninazochikua nazichukua nikiwa nimekaa huku juu wanakokaa wageni na waandishi wa habari. Sijui hasa unatafuta nini mkuu
 
hii kitu kama uchizi flani hivi watu wakowako kama wamelewalewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…