JT2014
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,863
- 1,368
Naungana na wewe mkuu coz sijaona waziri yeyote wa ccm aliyesimama adharani kuunga mkonoSiyo kwamba hilo halijulikani, tatizo ni CCM ILIYOJIDEKEZA TANGU ILIPOJIPA HESHIMA YA KUSHIKA HATAMU. Sheria kwao inapata nguvu inapokuwa na maslahi kwao, kama ni vinginevyo wapo tayari kuwa juu yake! Hii ni tabia ambayo wasipojifunza kuiacha basi ni wazi CCM italeta machafuko nchi hii. Tolerance ya raia wengi kwangu inaonekana imefika mwisho!
kura ya siri kama walivyofanya akina Ester Bulaya,bali nawaona wakipigania kura ya wazi.Nadhani kuna makubaliano waliyokubaliana,kwani haiwezekani mawaziri wote wakawa na mawazo sawa.Kama ni kweli wana mawazo sawa ndo maana hatuendlei kwani bila changamoto hakuna maendeleo.