Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya mjadala tutaonge zaidi na wewe pengine unataka kumifahamu vizuri njoo dodoma tuonane mkuu.
Siku zote tukiacha uongo ujitanue nasi pia tutaonekana waongo.
Ebu tuache kukubali uwongo utuongoze, Huyu Simiyu Yetu ni mjumbe kweli wa bunge maalmu la katiba?
Pili aliemteuwa ni nani?
Tatu aliemteua alizingatia vigezo gani?
Nne Simiyu Yetu anastahili kweli?
Tano mjumbe wa bunge maalumu la katiba anapata wapi muda wa kubishana humu jamvini wakati vikao vikiendelea?
Pia tukimpima uwezo wake wa kufikiri kupia the way anavyopost
humu ndani nadhani jibu lipo wazi
Napenda kudeclare interest kuwa sina ugomvi wowote na Simiyu Yetu wala chuki binafsi/wivu.
Mkuu unaanza kuleta mauzauza sasa jadili hoja mkuu.
Majina ya wachangiaji ni yaleyale. Nyuma ya Mbowe yupo muasisi wa Mageuzi nchini, James Mapalala, hatajwi kabisa!Sheikh Kundecha sasa anaongea. Anasema kuwa ukamilifu ni wa Mwenyezi Mungu. Kwamba hatarajii kuona ukamilifu kwenye kazi za mwanadamu. Hata hizi kanuni zina mapungufu na kuna mwanya wa kushughulikia mapungufu hayo
Pamoja sana mkuu ubarikiwe sna.hahahahaaaaa haya mkuu lakini kuuliza sio u.jinga
Mkuu, kama wamekubaliana hivyo ni jambo jema kuliko kuendelea kusuguana kwa jambo dogo kama hili la kura.Kama utakua umewasikiliza kwa Umakini sana Lipumba na Mbowe,Ni dhahiri kua Kamati ya Maridhianao imekubaliana na Kura ya Siri.
Mnyika ,mbowe,lisu,mdee,sugu nk.Apart from Prof.Safari,CDM INAWAKILISHWA NA NANI MWINGINE?
Jusa anampongeza sana Lissu kwa mchango mkubwa alioutoa kwenye Kamati ya Kanuni
Ni kweli mkuu misuguano siyo mizuri make hujenga matabaka na hata kuacha makovu ya kudumu.Mkuu, kama wamekubaliana hivyo ni jambo jema kuliko kuendelea kusuguana kwa jambo dogo kama hili la kura.
we mbona huungi mkono hoja uatachangia lini katika bunge hili?Mkuu hapa hakuna habari ya vyama tunatunga katiba ya watanzania mhona unataka tuanze kujadili vyama na siasa kama unataka siasa nenda kalenga na chalinze.