IGUDUNG'WA
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 2,071
- 1,317
mimi nahisi mkuu wa kaya atakuwa amewatuliza ccm hapo dodoma waachane na hizo propaganda za kura ya waziMkuu, kama wamekubaliana hivyo ni jambo jema kuliko kuendelea kusuguana kwa jambo dogo kama hili la kura.