Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 11 Machi 2014

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 11 Machi 2014

Naona mitafaruku imeanza ila kificho anawasihi watulie na sasa anamkaribisha mwenyekiti wa kanuni, Mahalu aongee
 
Mtikila alianza kutuzingua lakini mungu kaingilia kati ametulia.
 
Nilisema toka Mwanzoni kua huu utaratibu wa Kuchagua Watu wa Kusema una Impact Kubwa.
 
Mtikila kashaharibu hali ya hewa, anamlaumu mwnykiti kwa kutompa nafasi ya kuzungumza toka jana
 
Mwenyekiti ametoa hoja na wabunge wengi wameunga mkono
 
...Naomba kutoa HOJA, imeungwa mkono, na walio wengi!
 
Taarifa inatolewa inayohusu tangazo la uchaguzi wa mwenyekiti wa bunge maalum kesho
 
Lisu yuko vizuri,isingekuwa rahisi kuacha mjadala bila kumpongeza.
 
Kesho tunachagua mwenyekiti wa kudumu wakuu twendeni pamoja sasa kazi inaanza kwa kasi kubwa.
 
Tangazo la Mwenyekiti wa bunge Maalum' kuwa ni kesho!
 
Kama kuna kazi ngumu duniani basi ni kupingana na ukweli na matakwa ya wengi!!!!!!!
 
Back
Top Bottom