Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 11 Machi 2014

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 11 Machi 2014

Twahitaji sana aina ya wasomi kama TUNDU LISU. Hili halihitajii ITIKADII.
 
Pamoja nanyi mlikua nami Skype bila kumsahau Chabruma ktk kuwaletea dondoo toka kule bungeni, hadi wakati mwingine nasema kwaherini.
 
Last edited by a moderator:
Katika hali isyokuwa ya kawaida baada ya Mwenyekiti wa BML kuwapa nafasi akina Lipiumba, Mbowe, Mbatia na viongozi wa dini na wote kukubaliana na rasimu ya kanuni ghafla aliamuka Mcj Mtikila na kuhoji kwa nini amekuwa hapewi nafasi ya kuongea "Kwa nini sipewi nafasia kuongea? Mi sina neno la baraka kwa nchi yangu? Kwa nini unawapa nafasi ya kuongea watu mnaokubaliana tu? Ni haki yangu kuongea wala si ombi!

Aliendelea kusema Kificho hamuheshimu Mungu kwani haki ni agizo la Mungu, "kwanini huna heshima wewe?" unataka nikuheshimu wakati wewe huniheshimu? Kweli Mtikila ni kiboko maana pamoja na zomea zomea ya wale wenzetu amekomaa na kudai haki yake Mpaka Kificho akajitetea.
 
Hivi yule mzee wa kichwa cha kufugia nywele anajisikiaje akisikia TL anasifiwa!
 
Tatizo baadhi ya matamshi yake hayajengi yanalenga katika kubomoa,, je? Mtu kama huyu apewe fursa?
 
CCM wanatupotezea muda! Walikua hawataki na bado wengi wa Viongozi wao hawataki Katiba mpya. Na shida kubwa ni kwamba wale ambao upande wa CCM wangeongoza mapambano ya kupata Katiba mpya ni ViGEUGEU! Hawana Msimamo. Mnawafahamu sina haja ya kuwataja.
 
Wote walituletea updates mmefanya kazi nzuri hasa Chabruma na Arusha Yetu
 
Nimemuona ametamalaki sana, yani alivokua amefuula vile ukiingia kwenye reli yake lazima akufangie mbaya

Kweli ni haki kabisa alichosema mchungaji.... jamaa anachangua walewale wanaopendezwa na amaneno yao

Lakin wenye misimamo mikali kapuni
 
so mmeshakula laki 3 hapo toka asubuhi hadi sasa au?

Mkuu naomba kuweka kumbukumbu sawa kua mimi si mbunge wala mjumbe wa bunge lolote bali ni mwananchi wa kawaida tu. Nimekua nikichangia kuleta dondoo kwa kuangali runinga na wala sipo Dodoma. Asante.
 
Nimeshangaa na tundu Lissu kapiga makofi kwa furaha! ina maana anakubaliana na hali halisi au system?
 
Siku za kupoteza karibu zinaisha sasa kazi rasmi ianze , tuone hoja zikijengwa na kubomolewa hatimae tupate katiba mpya.
 
Nimeshangaa na tundu Lissu kapiga makofi kwa furaha! ina maana anakubaliana na hali halisi au system?

Mimi nilishapoteza imani na mtu yeyote anayeitwa mwanasiasa na sitaki kabisa kuhubiriwa mambo ya chadema, ccm, cuf, tlp, act, nk nk
 
Hao hawawezi digitali. cheki startv online wapo. Hebu google ila bunge limehairishwa hadi kesho
Da ngoja niwacheck mkuu ili next time nifuatilie bunge hata na kamchina kangu nikiwa out. Unaweza kuwa na link mkuu kuturahisishia?
 
TBC ikipatikana live online nakata gogo pale round about ya kariakoo mchana kweupe

Nimetoka ku-google hapa, ni Clouds Tv tu ndio ipo online, lakini nyingine, TBC, ITV, EATV wala STAR Tv, hazipo, inakuwaje, kama mt analink, anaweza weka hapa, hii inasikitisha sana.

Majirani zetu Kenya karibu chaneli zao zote nazipata hapa:Watch LIVE TV | KenyaMOJA.com
 
Back
Top Bottom