Makiri Unguluma
JF-Expert Member
- Jul 21, 2011
- 987
- 335
Makaliwo yao hao mbavu zao!
"... tumefika hapa kwa upuuzi wa CCM," John J. Mnyika.
wabunge wa ccm washenzi na wahuni wakubwa ndo wanaruvuga bunge
mbona wabunge wa ccm hawataki kura ya siri kuna nn kimejificha
bunge kukwama kwama ni kwa maagizo ya JK
Tupo pamoja
Lukuvi amaesema wanaozomea ni wale wa siku zote..... ila wajumbe wajue hata tundu lissu allikuwa mmoja wa washauri. sasa sijajua alimaanisha nini ama ndo kumaaanisha wapinzani ndio wanazomea
jamani kificho anatakiwa kujiuzuru mara moja anatumika kiccm wameshamhonga
"... tumefika hapa kwa upuuzi wa CCM," John J. Mnyika.
Mkuu umesikia sauti ya mjumbe akitanabahisha mjumbe mwenzie ni BWE.GE? Ana maanisha bwe.ge kachaguliwa na................? Hahahhhaahahh.........very interesting.
kwa kweli CCM wanazingua,unaweza julipua pale bungeni