Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

kificho anatumika kiccm na ccm ni chama cha washenzi na wahuni wakubwaaaaaa
 
jamani kificho anatakiwa kujiuzuru mara moja anatumika kiccm wameshamhonga
 
Lukuvi amaesema wanaozomea ni wale wa siku zote..... ila wajumbe wajue hata tundu lissu allikuwa mmoja wa washauri. sasa sijajua alimaanisha nini ama ndo kumaaanisha wapinzani ndio wanazomea

hata mvinyo pia hulevya
 
Mkuu umesikia sauti ya mjumbe akitanabahisha mjumbe mwenzie ni BWE.GE? Ana maanisha bwe.ge kachaguliwa na................? Hahahhhaahahh.........very interesting.

mi nilifikiri labda kasema kwa hofu au bahati mbaya tu. Nilipogundua kuwa kamaanisha ni pale niliposikia kalirudia neno hilo kama mara sita hivi. Eeeeh Muumba naomba jioni ya leo uwape wajumbe hawa mioyo ya unyenyekevu ndani ya bunge letu tukufu
 
Kwa hali hii asipopatikana Spika imara, msitegemee rasimu ya tatu au katiba pendekezi!
 
Back
Top Bottom