Mkuu mimi siku hizi siamini sana ktk cv za watu, na badala yake naamini ktk utendaji na ufanisi wa mtu. Jitu la namna ya simiyuyetu unaweza kuta ni miongoni mwa yale majitu ya siku hizi yanayojiita dr.dr.dr.dr. XXXX pasipo hata kua na chapisho japo moja tu achilia mbali udaktari wa tiba kisha linatukana wananchi walipa kodi kwa kudai eti serikali haina fedha za kulipa mishahara mikubwa huku mchwa (wanasiasa) wakipeana maposho manono.
Ngoja niku pm kitu unisaidie ufafanuzi mkuu.
Kiti kinamfaa Issa Shivji tu.
Hawa wahuni wa CHADEMA watuharibia bunge letu
Wanamkejeli Mungu.
Simiyu yetu Mbunge wa Bunge hili maalum dah
Wadau, amani iwe nanyi.
Kama kawaida yetu tutaendelea kuwaletea mtiririko wa mijadala Bungeni Dodoma. Kwa sasa Bunge lipo kwenye mchakato wa kukamilisha kupitisha vifungu vya Kanuni za Bunge. Mtakumbuka kuwa vifungu vyote 87 vimepitishwa isipokuwa kifungu cha 37 na 38 ambavyo kwa ujumla wake vinahusu ufanywaji wa maamuzi ndani ya Bunge Maalum. Mjadala hapa ni ama matumizi ya Kura ya Wazi au ya Siri. Mtakumbuka kuwa siku ya Ijumaa ya tarehe 7 Machi, Mwenyekiti Kificho aliunda Kamati ya Mashauriano kuhusu vipengele hivyo. Kamati bado haijamaliza kazi yake na leo wanaendelea na mashauriano. Semina kwa siku ya leo itaendelea kuanzia saa 5 Asubuhi mara baada ya Kamati ya Mashauriano kumaliza kazi yake.
kama kawaida, nitakuwa sambamba na wadau wengine kuwaletea updates zote. Natarajia kupata ushirikiano kutoka kwa mdau wetu ambaye ni Mbunge wa Bunge hili Maalum, Simiyu Yetu. Pia kwenye Mjadala, natarajia kuwaona akina Skype na MaishaPesa. ​Stay Connected
======================================================================================
UPDATES 1
Wadau, semina imechelewa kuanza kwa vile Kamati ya Mashauriano ilikuwa inaendelea na kikao chake. Kwa sasa kikao kimemalizika na baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo akiwemo James Mbatia, Steven Wasira, Askofu Donald Mtetemela na Sheikh Jongo wameingia Ukumbini. Ni wazi kuwa muda si mrefu Semina itaanza. Tuwe na subira
Simiyu huyu ----- namfahamu hana hoja zaidi ya kuwekwa na Rz1 ni mbovu kweli!
kazi kweli kweli
wabunge wa ccm washenzi na wahuni wakubwa ndo wanaruvuga bunge
Afu wewe jana nilikupigia kwenye wassapu yako hukupatkana,
Kwanini!!!!!11
Mkuu, EL yupo Bungeni kama kawa. Siku zote yupo ingawa hajawahi kuchangia hata siku moja. Kuna wazee wengi tu ambao wanahudhuria vema ila kwenye kuchangia hawamo. Nadhani wanavuta kasi ya Rasimu yenyewe ya Katibandugu yangu Chabruma hivi Mh E. Lowassa yumo mjengoni, kwani sijasikia comment zake hata kidogo kuhusu hoja yeyote iwe kura ya wazi au ya siri. Au ndio kifungo cha kutaka uraisi hakikwepa wananchi wasijue msimamo wake. lakini kwa kumsemea anaonekana anataka kura ya siri
Ni wazo zuri mkuu. Ila katika ishu ya katiba, cha muhimu si kujua nani ameshinda bali maridhiano. Wakipiga kura, ni wasi kuwa CCM itashinda na hivyo kuonekana kuwa kila kitu ccm inadominateNinashauri wapige kura ya siri na ya wazi. halafu matokeo ya kura zote yajumlishwe, mfano: siri: ndiyo, hapana 5, 2 + wazi: ndiyo, hapana, 4, 6, respectively (sahawia)= ndiyo: 9; hapana: 8.