Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
naye tundu lissu awe makini na hizo sifa anazopewa na ccm siku hizi, sifa zimezidi lazima kuna jambo
Mtoto ataitwa nani?
Mkuu, Mwenyekiti ameingia na shughuli imeanza. Hata hivyo imesitishwa kwa muda wa dakika kumi kutokana na mahudhurio kuwa hafifu