Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Heeeee mbona wajumbe wamo wachache sana? Chabruma naamini uko mjengoni hebu lete dondoo kidogo
 
Last edited by a moderator:
Vipi huko dodoma wakuu washaanza kuingia ndani kumi kamili tayari mliopo huko tupeni updates
 
ndo ivo tena bao la kisigino ilo, kama ulimsikiliza lukuvi vizuri leo yan pale no objection tena coz kanuni tayari zinzruhusu kamati ya kudumu ya kanuni ili kushugulika na matatizo ya kanuni na tayari ilo la kura ya wazi au ya siri ni tatizo la kwanza wataanza nalo uku mambo mangine yanaendelea . ndo maana umeona mh mbowe, lisu na mnyika walikua kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kificho anahaha hapa, idadi ya wabunge ni ndogo mno
 
Mwenyekiti anasema kuwa walitakiwa waridhie Kanuni za Bunge. Ila kutokana na mahudhurio kuwa hafifu, si jambo jema kuendelea na kazi ijapokuwa kanuni hazijawa tayari. Mwenyekiti anatoa azimio la kuahirisha shughuli kwa muda. Anaagiza kengele zipigwe ili waliopo nje waingie ukumbini.
 
Naona wajumbe wanaingia mmojammoja hapa kwa kasi ndogo sana sijui nini kitatokea leo, tusubiri.
 
Vipi huko dodoma wakuu washaanza kuingia ndani kumi kamili tayari mliopo huko tupeni updates
Mkuu, Mwenyekiti ameingia na shughuli imeanza. Hata hivyo imesitishwa kwa muda wa dakika kumi kutokana na mahudhurio kuwa hafifu
 
Sioni dalili ya katiba mpya hapa!leo ni siku ya 21 na bado malumbano yanaendelea mjengoni.wacha mimi na familia yangu tujipange kwenda Chalinze kwa mtoto wa prezda kula pesa yule dogo ni tajiri hana hasara ila siku dingi akitoka madarakani naye pia ataombe awe rais Riz nipo njiani nakuja ila kumbuka wanainchi wanawenye Chalinze sio wewe na kikosi chako wanaweza wakala pesa kura wakapiga kwa mpizani wako kuwa makini nahizo vijisenti vyako.
 
Heeeee mbona wajumbe wamo wachache sana? Chabruma naamini uko mjengoni hebu lete dondoo kidogo
Mkuu, ni kweli wajumbe ni wachache sana. Wengi wapo nje na pale Canteen. Nadhani yale mazoea ya kuchelewa ndo yamesababisha hali hii
 
I wish ningepata mawasiliano ya al-shabaab niwaombe watusaidie ktk hili wananchi 2medharaulika sana. Pesa ya walalahoi inafanyiwa isirafu hadharani bila woga.
 
Dalili zinaonyesha leo hakuna cha maana kitakachofanyika, na kuna uwezekano wajumbe wamegoma.
 
Na,uona mzee Mrema anaingia. Mzee Edward Lowasa yupo hapa kitambo
 
Back
Top Bottom