Chabruma vipi mambo bado tu?
Msimamo wa serikali tatu umeletwa na wanaMkuu hili suala la misimamo ya kichama ndo linachelewesha mambo. CHADEMA wao walitangaza muundo wa serikali tatu na kura ya siri. CCM wao wamekuja na serikali mbili na kura ya wazi. Ni vitu viwili tofauti na hivyo kuliweka jambo hili la katiba kwenye rehani. Wanasiasa wameteka mjadala huu wa Bunge la Katiba badala ya wananchi wa kawaida. Hii ni kutokana na wao kuwa wengi. Mfumo uliopendekezwa wa kuwa na makundi matatu ya wabunge ndo unatuathiri katika hili
Mkuu, nakubaliana na wewe kabisa. Ila katika suala la katiba, misimamo ya kichama si muhimu. Muhimu hapa ni maridhianoMsimamo wa serikali tatu umeletwa na wana
Nchi kupitia tume ya mabadiliko ya katiba
Chadema wameunga mkono sababu pia iko
Kwenye sera ya chama chao sasa Maccm
Yanapata wapi ujasiri wa kubadilisha msimamo
Wa maoni ya wananchi?
Msimamo wa serikali tatu umeletwa na wana
Nchi kupitia tume ya mabadiliko ya katiba
Chadema wameunga mkono sababu pia iko
Kwenye sera ya chama chao sasa Maccm
Yanapata wapi ujasiri wa kubadilisha msimamo
Wa maoni ya wananchi?
Naam mwenyekiti ameketi kwenye kiti chake tayari kuanza semina. Tuwe pamoja wadau
Neno maridhiano naona limeanza kutumika vibaya ktk bunge hili
Naam mwenyekiti ameketi kwenye kiti chake tayari kuanza semina. Tuwe pamoja wadau