Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Saa sita sasa, bado tu! Au wanasubiri watoke swala ya adhuhuri ndo semina ianze... Updates please
 
Wajumbe wengi wapo ukumbini sasa. Bado Mwenyekiti hajaingia
 
Chabruma vipi mambo bado tu?

Unaweza kuhusi ni utani lakini ndio hali halisi! Mda huu tunavyoongea wako wanaonyesha segment ya orijino komedi joti akiwa anasakata rumba! Hivi hata kama wanasubiri mjadala uanze ndio waanze kurusha matangazo ya moja kwa moja, yani eanashindwa hata kualika wataalamu wakawa wanafanya uchambuzi kuvuta mda??
 
Last edited by a moderator:
Kura ya siri haina rushwa wala kumwogopa mtu.
By the way miaka ya nyuma kule Kenya kuliwahi tokea kura ya mlolongo (kura ya wazi) sijui walisolve vipi kama kuna mtu anakumbuka vizuri atujuze.
 
Mwanasheria wa Zanzibar na Ismail Jusa nao wanaingia ukumbini. Hawa ni miongoni mwa wajumbe wa Kamati ya Kanuni
 
Dr Tulia Ackson na Amon ambao pia ni wajumbe wa Kamati ya Kanuni wanaingia Ukumbini
 
Mkuu hili suala la misimamo ya kichama ndo linachelewesha mambo. CHADEMA wao walitangaza muundo wa serikali tatu na kura ya siri. CCM wao wamekuja na serikali mbili na kura ya wazi. Ni vitu viwili tofauti na hivyo kuliweka jambo hili la katiba kwenye rehani. Wanasiasa wameteka mjadala huu wa Bunge la Katiba badala ya wananchi wa kawaida. Hii ni kutokana na wao kuwa wengi. Mfumo uliopendekezwa wa kuwa na makundi matatu ya wabunge ndo unatuathiri katika hili
Msimamo wa serikali tatu umeletwa na wana
Nchi kupitia tume ya mabadiliko ya katiba
Chadema wameunga mkono sababu pia iko
Kwenye sera ya chama chao sasa Maccm
Yanapata wapi ujasiri wa kubadilisha msimamo
Wa maoni ya wananchi?
 
Wabunge wengi wameketi kwenye viti vyao
 
Msimamo wa serikali tatu umeletwa na wana
Nchi kupitia tume ya mabadiliko ya katiba
Chadema wameunga mkono sababu pia iko
Kwenye sera ya chama chao sasa Maccm
Yanapata wapi ujasiri wa kubadilisha msimamo
Wa maoni ya wananchi?
Mkuu, nakubaliana na wewe kabisa. Ila katika suala la katiba, misimamo ya kichama si muhimu. Muhimu hapa ni maridhiano
 
Naam mwenyekiti ameketi kwenye kiti chake tayari kuanza semina. Tuwe pamoja wadau
 
Msimamo wa serikali tatu umeletwa na wana
Nchi kupitia tume ya mabadiliko ya katiba
Chadema wameunga mkono sababu pia iko
Kwenye sera ya chama chao sasa Maccm
Yanapata wapi ujasiri wa kubadilisha msimamo
Wa maoni ya wananchi?

mkuu njaa mbaya unaweza kujitoa kafara neo kinachoendelea salsa hivi!!!
 
Neno maridhiano naona limeanza kutumika vibaya ktk bunge hili
 
Dua inasomwa kuliombea dua. Anaanza Sheikh Thabit Norman Jongo na atafuatia Askofu Donald Mtetemela?
 
Naam, sasa nimerejea tena hewani, dua zinasomwa hapa
 
Back
Top Bottom