Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Kuna mbunge anasema kuwa wazo la Oluoch ni jema ila lina tatizo pia. Badala ya kutumia kura ya siri kuamua aina ya kura itakayotumika, mbunge anapendekeza ipigwe kura ya wazi kuamua ama kura ya wazi au ya Siri itumike

amenishangaza anasema kura ya wazi ni ya wananchi. mbona mimi sitaki kura ya wazi? au mimi sio mwananchi?
 
Lukuvi anasema yeye ni sugu wa kuzomewa na atasema tu anachotaka kusema
 
Hivi kumbe yale maombi ya viongozi wa dini yamekua bure mle bungeni.
 
Huyo Bwana aliyetoa wazo la kura ya siri ipigwe kuamua kura ya wazi au ya siri amekuja na wazo sahihi kabisa , hapo ndo kukata mzizi wa fitina . Kuna nini kimefichama kwenye kura ya wazi au ya Siri ? mnatumia kodi za walipa kodi chonde wajumbe wa bunge la katiba msipoteze muda kwa kujadili suala moja wiki zote hizo mlizo kaa huko, ili suala haliishi tu ?
 
Lukuvi anasema kuwa kuna kamati ya Kanuni ya kudumu ambayo itakuwa na jukumu la kurekebisha kanuni hizo pale inapolazimu
 
Lukuvi analazimisha kanuni zipite zilivyo kisha mwenye mapendekezo atajitokeza baadaye ili kurekebisha
 
Sasa Lukuvi anapewa nafasi.,anaendelea....

anasema kupitishwa kwa kanuni 85 kati ya 87 hakuwezi kusema kanuni zimeshindwa. inavyoelekea vifungu 37 38 havitajadiliwa leo.
 
Lukuvi anaonekana kutumia hoja ya nguvu kua lazima kamati ya kudumu iundwe kushughulikia malalamiko hayo (sijui yapi)
 
Lukuvi analazimisha zipitishwe kanuni 85 hizo zingine zitasubiria.
 
Back
Top Bottom