Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

hapo kwenye kura ya siri lazma ccm wasilie tena olesendeka amekimbia
 
bunge la katiba kwanza limechelewa kuanza,alafu kamati iliyochaguliwa imeshindwa kabisa kueleza wazi uamuzi utapitishwa kwa kura ya namna gani, kwa maoni yangu ni bora wapige kura eliyozoeleka ya siri kuamua ni kura ya namna watakuwa wanaitumia. vinginevyo ni kuwaogopa ccm
 
Hapa kuna vitu vinafichwa na hawa CCM. Ila hapa katiba inakwenda Mlama
 
Ni aibu kuwaona watu wazima wanazomeani huku wameaminiwa kwenda mjengoni kututengenezea KATIBA...natamani kuzima TV ninapoangalia Bunge la katiba ....Live kutoka Dodoma.
 
Simba chawene analazimisha kufunika kombe mwanaharamu apite
 
naona wamearisha tena na wajumbe wanapiga makelele
 
Bunge linaahirishwa hadi saa 10 jioni ambapo watakuja kwa utaratibu wa Bunge Maalum la Katiba. Wabunge wameambiwa wavae kwa utaratibu wa kibunge
 
simbachawene naye analeta uccm, kama kuapishwa kunafaa nk basi wangefanya hivyo siku nyingi na kumchagua huyo Mwenyekiti
 
Back
Top Bottom