Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lukuvi anasema yeye ni sugu wa kuzomewa.
Huu ni uhuni wakiendelea naBunge linaahirishwa hadi saa 10 jioni ambapo watakuja kwa utaratibu wa Bunge Maalum la Katiba. Wabunge wameambiwa wavae kwa utaratibu wa kibunge
wamefanyaje? Yaani wameamua kujinyea humo mjengoni!!naona wamearisha tena
Lakini kwanini Wabunge waitane Mabwege? Ningekuwa mimi ningefuatilia hakika na mkufunisha adabu......haya mambo yana tia kinyaa!
The word 'b.w.e.g.e' sounds relevant kwetu kwa maana ingekuwa kwenye watu makini wakianza kuongea masuala nyeti kama haya hawaendi hata lunch na wanaweza kukaa hadi usiku wa manane. Sisi dakika tano, "tunaahirisha bunge...". Inachosha na kuaibisha sana.Bunge linaahirishwa hadi saa 10 jioni ambapo watakuja kwa utaratibu wa Bunge Maalum la Katiba. Wabunge wameambiwa wavae kwa utaratibu wa kibunge
bunge la katiba kwanza limechelewa kuanza,alafu kamati iliyochaguliwa imeshindwa kabisa kueleza wazi uamuzi utapitishwa kwa kura ya namna gani, kwa maoni yangu ni bora wapige kura eliyozoeleka ya siri kuamua ni kura ya namna watakuwa wanaitumia. vinginevyo ni kuwaogopa ccm