Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Naamini anaweza kutenda haki, kwa kua yeye ni mtaalam aliyebobea ktk sheria, pia ninaamini yuko upande wa wananchi, period
na huyu Sitta je!!!!!!halafu mbona sioni updates zozote hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini anaweza kutenda haki, kwa kua yeye ni mtaalam aliyebobea ktk sheria, pia ninaamini yuko upande wa wananchi, period
Skype,Kuna watu wengine wanaboa,hata mtoto wa chekechea anawazidi upeo wa kuelewa!Hahahaaaaaaa jamani mbavu zangu mieeee. Mambo ya antisuzi yamefika na huku! Ee yangu macho.
Mkuu, bunge limeahirishwa hadi jioni saa 10.
Kazi tunayo
Kuna upuuzi gani unaendelea saa hizi huko? Wallah watatiana mimba tu trust me
asante.....koleoasubuhi kilijadiliwa nini hasa
Sasa kama ni MABWEGE wasiitane??Eti wanaitana mabwege! Hivi wanaakili nzuri hawa wabunge kweli! Shame upon them
M/kiti wa kamati ya marekebisho kanuni bunge la katiba Costa Mahalu leo Hili mambo yaende katoa marekebisho yanayotakiwa kuchukuliwa tahadhari; KIFUNGU; 37 MAAMUZI YOYOTE NDANI YA BUNGE LA KATIBA YATAFANYIKA KWA KUPIGA KURA; KIFUNGU 38; MWENYEKITI WA KUDUMU NDIYE ATAKAYEAMUA NI AINA GANI YA KURA IPIGWE . TAHADHARI ;kama m/kiti akiamua iwe ya wazi au ya siri hakuna mjumbe/au mbunge yeyote atakae pingana nae kwa kuwa kanuni zinampa mamlaka iwe iwavyo. Poleni Wajumbe kwa kuuziwa mbuzi kwenye Gunia leo hii
Mimi niliangalia bunge session ya asubuhi nikashindwa kuelewa walikutana kujadili nini hasa????
Manake wanaanza wanabishana then ghafla wanahairisha hadi jioni...
Bunge movies
tunawasubiria
asante.....koleoasubuhi kilijadiliwa nini hasa