Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Kuna kilaza anapiga kelele mkiti kura ni siri
 
Wabunge wote wameunga mkono hoja hiyo na bunge linaahirishwa. Kuna mbunge anataka ipigwe kura ya siri ili wabunge waamue kama bunge liahirishwe au la. Ni vioja tu
 
Ama kweli moto mkali bunge la katiba kubwa ni kura ya siri na wazi, makundi yanakwenda kujipanga upya
 
Wakuu naomba kuwa wazi tangu nianze kuhudhuria vikao mbali mbali hiki cha bunge la katiba ni kiboko hata watu wazima tunaowaheshimu kabisa wamekuwa kama watoto du! Hii pasua kichwa any way tutafika kwa namna yoyote ile.
 
kificho anatoa matangazo na kisha aahirishe bunge hadi kesho, jamani pamoja nanyi mlikua nami Skype bila kumsahau Chabruma.

Kutoka kule bungeni Dodoma, ukumbi wa bunge movie, ni mimi Skype wa Jamiiforums. Asanteni na kwa herini.
 
Hawa wawakilishi woooooooooote ni K.E.N.G.E tu yaani wanapeana taarifa za Yanga wapi wakakutanie SWAHIN
 
Ukweli utasimama tu na dhuluma haitadumu hata ikipitishwa kwa hila itajitenga na kweli ya haki!!!!!!!
 
Kwa hiyo hao waseng.e wamekula laki3 leo leo bila kazi yeyote ile? Ngoja niende zangu bar tu hapa.
 
Mkuu chabruma hili ndilo bunge la katiba bwana ngoja mi nitoke naenda zangu dodoma hotel kupumzika make hii ni balaa ila katiba tutaipata tu.
 
Mwenyekiti anawashukuru wabunge kwa umoja wanaouonesha. Anawaomba wajumbe kuendelea na spirit hii. Pia anasisitiza wabunge kuwahi. Bunge linaahirishwa hadi kesho saa tatu kamili asubuhi
 
Mkuu chabruma hili ndilo bunge la katiba bwana ngoja mi nitoke naenda zangu dodoma hotel kupumzika make hii ni balaa ila katiba tutaipata tu.
Mkuu, kumbe upooo! Leo ulikuwa kimya sana.
 
Mie pamoja na Mkuu Skype tunawashukuru sana wale wote walioshiriki pamoja nasi. Basi tuwatakie kila la kheri na kama kawaida tutaungana hapo kesho. Alamsiki
 
ujinga wa watanzania ni mtaji mkubwa sana kwa CCM.
Makitu hayo hayo yanapirisha upuuzi wa wazi kisha yanaendelea kuchaguliwa tena.
Masikini nchi na taifa langu. Watu wataendelea kuangamia kwa kukosa maarifa.
 
qumamamaee hili li Nchi ukombozi uko mbali sana..Yani nilijua hiki ndiyo kinachofuata..

kwanza wakati wa kugawa kanuni hazikutosha.. Wakati idadi ya wajumbe inajulikana..

Wamepewa bado wanahitaji kuzipitia..

Mbona ni utaratibu ambao uko wazi sana???

hii mipumbavu inamaliza kodi zetu tu..Huwezi kuwaita wasomi wakati wanajadili mambo kijinga jinga..

Hapa hakuna katiba wala nini kwa usenge huu..:thumbdown:
 
Tunashuhudia mara kadha wa kadha hali inapokuwa tete katika bunge maalum la katiba, hawa wajumbe hupewa nafasi za kuongea labda ni kutokana na busara walizo nazo ama ni kutokana na nafasi walizo nazo za uenyekiti wa vyama wanavyoongoza. Mimi cjui ila wapo wenye busara kuliko hawa, wapo wenyeviti wa vyama pia kama kina Mrema. "Ama kweli mcheza ngoma ndiye huchagua wimbo"
 
Kura ya wazi itaharibu kabisa katiba, na kuleta chuki ambayo hatujawahi kuiona Tanzania. Na mkipitisha hii na hata wabunge na madiwani na kura zite ziwe za wazi.
 
Binafsi huu ubabe wa viongozi wa serikali,matusi,kejeli na kelele za wajumbe naona kama hatutapata katiba bora,Mfano leo j3 mjumbe 1 amemtukana mwenzake kuwa 'kubwa jinga halina adabu' kweli katiba mpya tutaipata kwa staili hii?
 
Back
Top Bottom