+++++++Jamaa yangu usidanganyike mabadiliko kupitia ccm ni ndoto ya mchana kweupe.. mi mwenyewe mwana ccm lakini kura yangu ni kwa lowasa... ikiwa ccm ilifutilia mbali maoni ya wananchi ktk katiba ni dhahiri kwamba ccm haitakuwa/haipo tayari kufanya mabadiliko yatakayoiumiza. Maana ili ufanye mabadiliko ni lazima ccm iumie kwani ccm inauroho wa madaraka sana...na vogogo na watoto wao wachache wa ccm ndio wanaomiliki uchumi wa nchi na raslimali.
<<<<usishangae jamaa yangu ni kwamba watanzania wameamua kwa dhati na kwa ujumla wao kuiadhibu ccm kutokana na mfumo wake wa kulindana na kuongeza maadui 2 zaidi Ufisadi na rushwa.>>> na kimsingi ukitazama kwa makini lowasa kaachia ngazi za kiserikali toka 2007 miaka 8 takribani lakini ufisadi umeongezeka maradufu kumbe tatizo sio lowasa ni mfumo ccm>>>>>>>>++++++