Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Team picha hizo hapo za chato leo.
 

Attachments

  • chato 1.jpg
    chato 1.jpg
    90.6 KB · Views: 298
  • Chato hiyo.jpg
    Chato hiyo.jpg
    87.9 KB · Views: 285
  • Chato.jpg
    Chato.jpg
    84.9 KB · Views: 301
  • Lowasa Chato.jpg
    Lowasa Chato.jpg
    90.6 KB · Views: 307
Sawa mnatuonesha watu kwenye mikutano yenu, swali ni je wamewaelewa mnachowaambia, na mnauhakika kua watawapigia kura???
 
si watu wa chato tu hawana ubaguzi ni wasukuma na wanyamwezi wote hivyo tusitegemee magufuli kupata kura nyingi eti magufuli msukuma ila ar na kil yote kwa lowasa wale hawakopeshi
Watu wa chato hawana ubaguzi kama wale wa kiskazini. Watampokea na kumskiliza. Watu hawa si wale wanabaguana hata huko kwao jijini arusha kwa kuitana Arusha Asili na Arushamoshi. Hii tabia ya watu wa chato inanipa Tumaini kuwa Magufuli atawatumikia watanzania wote bila kuwabagua.
 
MAMAMAAAAAAAAAAAAAAAAA

DADEKIIIIIIIIIIIIIIIIII

MWALIMU WANGU LECTURER WANGU KIPENZI AKA DR BENEDICTO LUKANIMAAAAAAAAAAA
MBUNGE ANAYE SUBIRI KAPISHWA MAPEMA SANA NTAMUONA LEO CHATO WEWEEEEEEEEEEEEEE LOWASSA JUUUUU u
 
Safari hii mtu mzima ananyweshwa dawa na mgonjwa. Inapendeza sana.
 
+++++++Jamaa yangu usidanganyike mabadiliko kupitia ccm ni ndoto ya mchana kweupe.. mi mwenyewe mwana ccm lakini kura yangu ni kwa lowasa... ikiwa ccm ilifutilia mbali maoni ya wananchi ktk katiba ni dhahiri kwamba ccm haitakuwa/haipo tayari kufanya mabadiliko yatakayoiumiza. Maana ili ufanye mabadiliko ni lazima ccm iumie kwani ccm inauroho wa madaraka sana...na vogogo na watoto wao wachache wa ccm ndio wanaomiliki uchumi wa nchi na raslimali.

<<<<usishangae jamaa yangu ni kwamba watanzania wameamua kwa dhati na kwa ujumla wao kuiadhibu ccm kutokana na mfumo wake wa kulindana na kuongeza maadui 2 zaidi Ufisadi na rushwa.>>> na kimsingi ukitazama kwa makini lowasa kaachia ngazi za kiserikali toka 2007 miaka 8 takribani lakini ufisadi umeongezeka maradufu kumbe tatizo sio lowasa ni mfumo ccm>>>>>>>>++++++

Umesema maneno kuntu.
 
Hatuwezi kuwapa nchi Mafioso Mafisadi Unity MMU.
 
Picha hazipigi kura, jifunze

Umemaliza Kila Kitu Mkuu Asipokuelewa Anafanya Makusudi Tu. Asidhani Kuwa Wote Hapo Ni Watu Wa UKAWA Kwani Kuna Matahaira Vile Vile Wasioweza Kupiga Hata Kura Lakini Kama Haitoshi Na Kuna Wasiojiandikisha Kupiga Kura Na Kwa Kumalizia Tu Kuna Wengine Ambao Hujitokeza Kuja Tu Kuwaangalia Hao MAFISADI Na MAJIZI ( Lowassa Na Sumaye ) Ya Tanzania Yalivyo Ili Siku Ya Kupiga Kura Wawachinje Vizuri Na Wampigie Kura MZALENDO Na KIPENZI Cha Watanzania Wanaojitambua Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
 
Back
Top Bottom