Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa


Mbona huyo lowassa naye MUNDULI HAKUNA MAJI NA ALIPEWA BILLION 45
 
Wakiambiwa CCM ni ile ile na mwendo ni ule ule watu hawaelewi yaani ukichagua ccm jua umechagua umaskini shida na mateso makubwa utasikia CCM inawenyewe mara tunafanya upembuzi wa kina!! ovyo kabisaa
 
Ruwasa juu watai soma namba.wao wanasema tutaisoma sisi wao tope ritawamwagikia wata sherekea niambie kwenu yukojuu kira.kona magu niro wasa
 
Hawa jamaa sasa wataacha kulekeza nguvu kwenye campaign na badala yake wataanza kufikiri plan zingine ili kujiokoa
 
Hiki alichokiweka mleta mada kinaendana na hizi picha je ni kweli mleta mada KIAZI au ni wewe ndio KIAZI?





usinambie chato wamemlaki lowasa kiasi hiki? Aibu iloyoje kwa pombe loh. Nilijua tuu
 

raisi gani ana mitusi kivile?
 
Mabadiliko yapo mwaka huu. Siyo mabadiliko ya koti mvaaji yule yule. Koti na mvaaji wanabadilika.
 





Ukitaka kujuwa Magufuli ni mzigo kwa Ccm ni mkutano Lowassa aliofanya Chato leo.
Watu hawamtaki magufuli kila mtu lowassa na mabadiliko.
Ina maana kama Lowassa amepata ushindi mkubwa namna hii nyumbani kwa Pombe nani tena wakumzuia asiingie ikulu.

















Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiongea na wananchi wa Chato Geita leo Jumatano 16/9/2015 katika viwanja vya Stendi.









=>Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her ou
 
Kaushauri kwa mh. Rais wetu. Kabidhi tu kijiti kwa Lowasa. Patana naye, achia ofisi kimya kimyaaa ajikalie ofisini mwenyewe kabla. Hii, ni hatari
 

nilishawambia chato hawampendi pombe mwanzo mwisho sasa mmejionea na kura nyingi lazima tuzitoe chato.huu ndo mwisho wa ccm
 
Ingefaa iwe kichwa cha habari cha t daima kesho.."Moto wa mabua wahamia kwa Magufuli"
 
Haya mafuriko wap jamani ni dar au mbeya

Hi hi hiiiiii nalia mie!! Ni Chato hiyo Mkuu, leo watu wametembea kwa miguu kutoka vijiji vya mbali kwenda kumsikiliza Lowassa!

Watu wamelazimisha lukopter imshushe Lowassa japo awasalimie tu! Si mmezoea kuambiwa eti wananchi wameziba barabara eti Magufuli aongee nao? Sasa hii ya Geita ni mpya, sijawahi kuona Ndege inalazimishwa kushuka ili aliyemo azungumze na wananchi!!
 
Hii inaleta raha sana, na ndio kifo cha mende wa kijani na njanoooo
 
SHIKAMOO CHATO,mwidiwe chatooo!! Tasibota/Masibota chatoooo,nimesalimia kwa lugha zinazotumika sana chato,hii imejibu tafiti ya kupikwa aloitoa makamba leo i,kwa wapenzi wa mpira ni kwamba magufuli kapigwa home and away,Viva ukawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…