Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio maana ccm ilipigwa vibaya sana kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa .Sasa kama mtu amekuwa mbunge kwa miaka ishirini na ameshindwa kutoa maji yaliyopo umbali wa mita kama 100 kutoka mjini, lakini leo anatuahidi kupeleka maji vijijini, (Tanzania nzima kwa miaka mitano). TUTAMWAMINI vipi???? Ndio hivyo tena HATUNA NAMNA NYINGINE
Safiiiii UKAWA,futa delete kabisa ccm.tunaimaniiii na LOWASSAAAA OYAA OYAA OYAAAA
Watalii wa kisiasa hawana chama wala mgombea wao ni kufuata matukio tu hivyo usijipe moyo ukaja pata homa 25 Oct
Ukitaka kujuwa Magufuli ni mzigo kwa Ccm ni mkutano Lowassa aliofanya Chato leo.
Watu hawamtaki magufuli kila mtu lowassa na mabadiliko.
Ina maana kama Lowassa amepata ushindi mkubwa namna hii nyumbani kwa Pombe nani tena wakumzuia asiingie ikulu.
Mechi mpaka sasa ni nusu uwanja
Mechi mpaka sasa ni nusu uwanja
mimi nilijua ccm inaanguka lakini sikujua kama inaanguka kiurahisi namna hii !
Wembe ni uleule uliomyoa Dr Slaa 2010
Hizi nock out za mapema, Lowassa hamtendei haki Magufuli.