Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Magufuli is a Bad Snake.. Ni heri kumchagua Bundi anaye lala mchana kuliko huyu dude. Tuache ushabiki ambao utaturudisha nyuma miaka 5. Tunahitaji kusonga mbele na si kuendelea kuishi ndani ya yai bovu CCM.
 
Mbona huyo lowassa naye MUNDULI HAKUNA MAJI NA ALIPEWA BILLION 45

Shida kubwa ni ccm, hakuna maendeleo yatayokuja kwa ilani na katiba ya ccm, hapo kuna mkukuta juu, na masharti ya watoa misaada juu... yaani ni shaghala baghala!
Hata shule za kata katikati ya utekelezaji kabla hazija boreshwa vizuri ghafla kipaumbele kikabadilishwa wakasema sasa ni kilimo kwanza....yaani mzungu akiona kimenuka kwake anahitaji ardhi mpya ya commercial farming ana ongea na puppets wake huku Africa nao wanaweka kila kitu pembeni wanatekeleza, hawana jinsi maadam wanategemea kuendesha nchi kwa pesa inayopatikana kwa kutembeza bakuli.
 
saidia.jpg
Obama atakaposhtuka, tayari Ikulu ina mpangaji mpya kutoka UKAWA!
 
jaman acheni uzushi na uongo!!!!picha hizo ni geita mjini!!!!chato hapakuwa na watu!!!mkutano ulihailishwa!!!tena kaongea lissu peke yake na kusema vyombo vizur sana lakin watarudi sku nyingine kufanya mkutano kabla ya uchaguz!!!!semen kwel itawaweka huru!!!!matoke yakitokamsije sema kula zimeibiwa!!!jiandaen kisaikolojia kumbembeleza robot tusije pata msiba wa kitaifa!!!!ok
 
w.senteuh, leo unatimiza wiki moja toka ujiunge na JF, tafadhali usilidhalilishe jamvi letu na usitudhalilishe sisi ambao tumekuwa humu kwa muda mrefu. Nashangaa sana kwamba hata kwa kitu kinachohitaji homework kidogo tu kuthibitisha, mko watu mtakurupuka hovyo namna hii bila utafiti wowote kupinga...nachukia kweli tabia hii, hebu pitia hapa;

Last edited by a moderator:
jaman acheni uzushi na uongo!!!!picha hizo ni geita mjini!!!!chato hapakuwa na watu!!!mkutano ulihailishwa!!!tena kaongea lissu peke yake na kusema vyombo vizur sana lakin watarudi sku nyingine kufanya mkutano kabla ya uchaguz!!!!semen kwel itawaweka huru!!!!matoke yakitokamsije sema kula zimeibiwa!!!jiandaen kisaikolojia kumbembeleza robot tusije pata msiba wa kitaifa!!!!ok

Pet yako ulikuwa mkutanoni
 
Wewe ndiye mzushi, inaonekana umeumia sana kuona mwitikio wa wanachato kwa EL. Mkutano haukufanywa Geita na sababu ni kuwa haihuwa siku yake hiyo jana. Ngumu kumesa eeh???????? Magufuli Chato hata ubunge ilikuwa hati hati!!!!
 
Magufuli chato hana chake, ooh..utafiti wa ccm kuwa kwa kampen walizofanya mpaka saiv watashinda kwa 69.3% huu ni uongo wa makamba wametumia indicator gani..? Kama ni wingi wa watu kwenye mikutano basi UKAWA watashinda kwa asilimia 89.9%
 
kiongozi anayefanikiwa ni yule anayesikiliza wananchi wanataka nini na wanakero gani za msingi kabla ya kuparamia kuleta "maendeleo" Chato lilikuwa jimbo la majaribio la magufuri, kuna lami hafifu iliyokuwa kwenye majaribio imewekwa kule, kuna taa za barabarani ambazo haziitajiki ukizingatia idadi ya magari jimboni...magufuri aliweka hayo akijua atafanya majaribio na ku zuga wananchi kwa "maendeleo" kaweka pembeni wana Chato wanachohitaji ambacho ni maji, soko la bidhaa za wakulima na ajira kwa vijana. Matokeo yake ndio haya.
Kwa upande mwingine Monduli hakuna bara bara za lami hafifu wala mataa ya barabarani, lakini wana monduli huwaambii kitu kuhusu Lowasa kwa sababu Lowasa kawasaidia wananchi wake katika shida zao za msingi zinazohusu maisha yao ya kila siku kama wafugaji wanaoishi maisha ya ku hama hama, shida zao zimetatuliwa kadri ya vipaumbele VYAO.

Tabu wabunge wa ccm hawaishi majimboni kwa hiyo hata tabu za wananchi hawazijui
 
Magufuli chato hana chake, ooh..utafiti wa ccm kuwa kwa kampen walizofanya mpaka saiv watashinda kwa 69.3% huu ni uongo wa makamba wametumia indicator gani..? Kama ni wingi wa watu kwenye mikutano basi UKAWA watashinda kwa asilimia 89.9%

hizi tafiti zao za uongo na propaganda ndio zinazowapa watu munkari wa ku pigia kampeni ukawa kama hawana akili nzuri
 
hivi ww unafikiri Magufuli anaweza kujaza watu bila DIAMOND, ALLY KIBA, THE COMEDY, YAMOTO BAND, FUTUI NA KINA WEMA?????

MAGUFULI ni saiz ya LISSU, ZITTO , JJ MNYIKA.

LOWASSA ni habari nyingine.

Pia na Helicopter umesahau diwani
 
Wewe ndiye mzushi, inaonekana umeumia sana kuona mwitikio wa wanachato kwa EL. Mkutano haukufanywa Geita na sababu ni kuwa haihuwa siku yake hiyo jana. Ngumu kumesa eeh???????? Magufuli Chato hata ubunge ilikuwa hati hati!!!!

Hahaha
 
Nimekuwepo Chato mwenyewe,
Wananchi wameshaamua Rais ni Lowassa tu.
Yaan Huwezi amini kama ni nyumbani kwa Magfuli ndo jamaa anapendwa hivi!!.
Viva Lowasa
 
Duuuh! Ila kwa hili waliloamua wana chato ni hali ya hatari sana kwa magufuli kwenda kulipa atakapofika Monduli kwa rais mtarajiwa.
 
Nimekuwepo Chato mwenyewe,
Wananchi wameshaamua Rais ni Lowassa tu.
Yaan Huwezi amini kama ni nyumbani kwa Magfuli ndo jamaa anapendwa hivi!!.
Viva Lowasa

Ubabe, dharau Kwa wapiga Kura wake nk. Hivi kweli kuwaambia wananchi wako kuwa kama wanataka lami wakanye barabarani Kisha waisambaze iwe lami kosa walichagua diwani wa chadema na matusi mengine km wananchi wa chato hawana shukrani Mala wachawi etc. Lowasa atosha.
 
Back
Top Bottom