Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

hivi ww unafikiri Magufuli anaweza kujaza watu bila DIAMOND, ALLY KIBA, THE COMEDY, YAMOTO BAND, FUTUI NA KINA WEMA?????


MAGUFULI ni saiz ya LISSU, ZITTO , JJ MNYIKA.

LOWASSA ni habari nyingine.

Hiyo ni strategy tu ya kufanya watu waje..
 
Hata kampeni za kupunguza maambukizi ya HIV wanatumia wasanii kuwavuta pale ili wapate elimu ya Afya na mwisho wa siku watu wanapata elimu. Saizi kila mtu anajua UKIMWI ni nini.

ulishaona mgao wa mahindi au hela wanakuja diamond. ujue maguguli wako ni kama ukimwi. mpaka watu uwalazimishe kumsikiliza
 
Magufuli alisema tumuhukumu kwa maendeleo aliyoyapeleka Chato, il tuone kama hafai kumpa nchi
Sasa huu mrejesho mfupi wa tuliyoyaona huko, kwa kweli Magufuli amejitahidi sana kuweka taa za barabarani japo hakuna magari yanayohitaji kuongozwa na mataa hayo.

Mitaa mingi ya mjini imeweka lami, na barabara kuu ya kwenda Bukoba kupitia Chato ina lami (japo ni ya kiwango cha chini sana). Amejitahidi kujenga Hotel yake ya kifahari na Apartment za kutosha (JS MOTEL), tena ilifunguliwa na Mkapa pamoja na Raila Odinga japo yeye amesikika akisema hapendi matajiri (ni mfanya biashara)

Sasa tukirudi kwenye hali halisi ya maisha kwa mwananchi wa kawaida, utashangaa. Maisha ni duni mno, kuna ziwa lakini hakuna hata kiwanda cha kusindika samaki japo yeye amesikika ukishangaa ni kwa nini ukanda wote wa bahari ya hindi hakuna kiwanda cha samaki. Kuna ziwa lakini maji safi ni ya shida sana japo yeye amesikika aki ahidi maji safi na salama kwa vijiji vyote Tanzania kama akipata ridhaa. Watu wanachota maji ziwani kwenda kupikia.

Magufuli amekuwa Mbunge kwa miaka ishirini lakini ameshindwa kuwapatia watu wake maji safi tena yaliyopo umbali wa mita mia tu. Ameshindwa kuwapatia watu wake kiwanda ili vijana wapate ajira japo malighali zipo.Sasa anapata wapi uhalali wa kutuambia kuwa atatuletea Ajira, atatuletea Maji Safi na Salama, na atatujengea viwanda????

HUYU AMESHINDWA kabla hajaanza

Hayo yote uliyosema ni kweli tupu na nakupongeza sana kwa uchambuzi wa kina usiyo na hata chembe ya ushabiki wa kisiasa.
 
Ubabe, dharau Kwa wapiga Kura wake nk. Hivi kweli kuwaambia wananchi wako kuwa kama wanataka lami wakanye barabarani Kisha waisambaze iwe lami kosa walichagua diwani wa chadema na matusi mengine km wananchi wa chato hawana shukrani Mala wachawi etc. Lowasa atosha.

Aisee kama alifkia kuwaambia hivi wapigakura kushindwa ni haki yake ya msingi..ngoja tufuate mabadiliko nje ya CCM.
 
Watu wa chato hawana ubaguzi kama wale wa kiskazini. Watampokea na kumskiliza. Watu hawa si wale wanabaguana hata huko kwao jijini arusha kwa kuitana Arusha Asili na Arushamoshi. Hii tabia ya watu wa chato inanipa Tumaini kuwa Magufuli atawatumikia watanzania wote bila kuwabagua.
INABID UKAPIMWE AILI WW, INAWEZA KUWA UNAKILI KAMA YA INZI, KUNA WATU WANA MISIMAMO cyo wakuyumbishwa. So tofautisha MSIMAMO na UBAGUZI akili ndogo ww
 
Magufuli aliwapa za uso Jamaa zake wa Bziku eti Kama wanataka lami wanye halafu wasambaze kinyesi iwe lami.duuuuh kaziiii kwelikweli

Magufull ana madharau wakati mwingine sana. Ni kauli hizo aliwatolea watu wa kigamboni wapige mbizi.
 
Mwogope Mungu wewe eti watu hawamtaki magufuli, eti kila mtu lowassa, jipeni matumaini, hakika nakwambia lowassa atagalagazwa na magufuli mchana kweupe, el anawafaa sana nyie wanywa viroba msioweza kufikiri, tena anafaa huko huko kwenu pambafu

Punguza hasira na jazba tutaheshimiana tu. Lazima mkae.
 
Kama unajiamini sana, njoo PM tufahamiane we kokoro.. Naweza kukulisha wewe na wazazi wako for the rest of your life.. Wakati unasoma Primary hapo Obey mlikuwa mnakuja pale shuleni kwetu kushangaa basketball courts na swimming pools. I'm not on your league wewe kichaa, so stay there and get a life..

You're Very Fatuous And Asinine Brother.
 
Back
Top Bottom