Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Uliza kilichotokea Geita mjini! Kashindwa kuhutubia!! Jamani muoneeni huruna Mzee wa watu! Anaumwa sana mwacheni apumzike!
 
Ukitaka kujuwa Magufuli ni mzigo kwa Ccm ni mkutano Lowassa aliofanya Chato leo.
Watu hawamtaki magufuli kila mtu lowassa na mabadiliko.
Ina maana kama Lowassa amepata ushindi mkubwa namna hii nyumbani kwa Pombe nani tena wakumzuia asiingie ikulu.
Angeandika mtu mwingine ningetafakari kidogo lakini wewe kiazi mmalangu huna kitu.
 
Na hapo hakuna sombelea na wasanii maarufu ndio ujue watu wameamua ni mabadiliko tu
 
Back
Top Bottom