Yaliyojiri: Chato wamuaga Hayati John P. J. Magufuli

Mkuu hao usione wamesimama tu
Wanaangalia mengi sana hapo
Wanaweza kuona mambo mengi kwa kutazama uso wako tu
By the way wanalipa hera ndefu sana san sana
Acha wasimame tu
Wewe sema tu wanalinda maiti ya Magufuli.
Hakuna kitu kipya.
Mshahara na posho zao ni zile zile, wasimame sana au wasimame kidogo.
 
Mkuu hao usione wamesimama tu
Wanaangalia mengi sana hapo
Wanaweza kuona mambo mengi kwa kutazama uso wako tu
By the way wanalipa hera ndefu sana san sana
Acha wasimame tu
AKishazikwa watakuwa wanalamba mshahara flat ambao hauna marupurupu/per diem.
 
Walimu pale Mchikichini tuition centre wanasimama kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 12 jioni tangu January mpaka June kwa ajili ya pre form 5. Wanasimama likizo ya mwezi wa 6 na ya wa 12. Hata wewe unaweza
 
Toka maombolezo yaanze kule Dar moja ya mafanikio ya Marehemu yaliyoimbwa sana ni Elimu Bure kumbe ni Bure Elimu kwani mpaka leo mwenyewe ameshaondoka bado kuna waliomaliza Darasa 7 hawajui kusoma. Miaka 6 ya Magufuli iliyopotea!
Dah noma kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…