Yaliyojiri Ecuador vs Argentina

Asante sana wamevunja mwiko wa miaka mingi sana kwa Ecuador
 
Safi sana Chama langu ALBICELESTE


WORLD CUP BILA ARGENTINA ISINGENOGA.


WORLD CUP BILA KING MESSI ISINGENOGA.


ALL IN ALL TUNAENDA KUBEBA NDOO MWAKANI.
 
Argentina watacheza play off na New land,ili waweze kufuzu kwa maana hiyo hawajafuz moja kwa moja.
Kagonjwa ka akili wewe!! Nyie ndo mnalifanya taifa letu liongoze kwa watu wenye matatio ya akili Afrika!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…