hamfcb
JF-Expert Member
- Dec 22, 2015
- 588
- 668
Argentina kafuzu. Peru ndo atacheza play offsArgentina watacheza play off na New land,ili waweze kufuzu kwa maana hiyo hawajafuz moja kwa moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Argentina kafuzu. Peru ndo atacheza play offsArgentina watacheza play off na New land,ili waweze kufuzu kwa maana hiyo hawajafuz moja kwa moja.
Asante sana wamevunja mwiko wa miaka mingi sana kwa EcuadorGoal Ibarra 1'm
Ecuador 1 Argentina 0
(Ordonez Ayavi R.J) Ibarra 1min.
Goal Messi 12'm
Ecuador 1 Argentina 1
Goal Messi 20'm
Ecuador 1 Argentina 2
Halftime
Ecuador 1 Argentina 2
Second Half
Goal Messi 63'm
Ecuador 1 Argentina 3
90+3
Ecuador 1 Argentina 3
Full Time
Ecuador 1 Argentina 3
* Argentina qualify for the World Cup
Natabiri Argentina kufika mbali hata finali
Namba 1hadi4 wanaenda moja kwa moja anaeshika nafasi ya tano ndio anacheza play off samahani Mkuu umeanza kushabikia soka lini?Sababu ya kucheza play off ni nn?
Jana jionNamba 1hadi4 wanaenda moja kwa moja anaeshika nafasi ya tano ndio anacheza play off samahani Mkuu umeanza kushabikia soka lini?
Ndio maana unaandika ungese,jitahidi kuelewa mambo ya soka kama unaupenda huu mchezoJana jion
Kagonjwa ka akili wewe!! Nyie ndo mnalifanya taifa letu liongoze kwa watu wenye matatio ya akili Afrika!!Argentina watacheza play off na New land,ili waweze kufuzu kwa maana hiyo hawajafuz moja kwa moja.
Matatizo sio matatio.Kagonjwa ka akili wewe!! Nyie ndo mnalifanya taifa letu liongoze kwa watu wenye matatio ya akili Afrika!!
Hahah nlijua tu mtatoa povu.Ndio maana unaandika ungese,jitahidi kuelewa mambo ya soka kama unaupenda huu mchezo
Hivi wewe ni straight?Hahah nlijua tu mtatoa povu.