Sizani duh yaani zamani nilikuwaga naangalia kupitia channel sports ya Pakistan siku izi sioniHivi hakuna channel ya Kenya inaonesha?maana kuna wakati ktn walikuwa wanaonesha hizi game
Sawa,hapa tena ni 69 unaizungumzia mkuu.Sizani duh yaani zamani nilikuwaga naangalia kupitia channel sports ya Pakistan siku izi sioni
Nimeshazoea tu supersport
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Tottenham leooooo shughuli ipo
It has never happenedHii academy ya Ajax wanaturudisha miaka Ile walipochukua mala 3 mfululizo ili kombe.
Sasa hawa washenzi, Frenkie de jong wamemuuza, Andre nae nasikia ni msimu wake wa mwisho kuwadakia, ziyech nae anaondoka watayumba tenaHii academy ya Ajax wanaturudisha miaka Ile walipochukua mala 3 mfululizo ili kombe.
Angalia 71,72 na 73It has never happened
They won the old format cup
Not UCL
Totnhum hawakuonyesha uwezo wowote
Leo wanakula goli za kutosha tuu hao
Hahaa ndoto za mchanaLiwake jua inyeshe mvua ajax anakufa!
Acha kuota kabla hujalalaWatakula sio chini ya goli 5
HhahahhhhahahahHahaa ndoto za mchana
Unaangalia mpira?Liwake jua inyeshe mvua ajax anakufa!
Wewe unangalia?Unaangalia mpira?