Yaliyojiri European Champions League : Tottenham 0 - Ajax 1 (Semi Finals First Leg)

Yaliyojiri European Champions League : Tottenham 0 - Ajax 1 (Semi Finals First Leg)

Hivi hakuna channel ya Kenya inaonesha?maana kuna wakati ktn walikuwa wanaonesha hizi game
 
Hivi hakuna channel ya Kenya inaonesha?maana kuna wakati ktn walikuwa wanaonesha hizi game
Sizani duh yaani zamani nilikuwaga naangalia kupitia channel sports ya Pakistan siku izi sioni

Nimeshazoea tu supersport
 
😝😝😝😝 Tottenham leooooo shughuli ipo
 
Goli la ugenini baya sn.Tot asipokuwa makini hawa vijana watawadhalilisha
 
It has never happened

They won the old format cup

Not UCL
Angalia 71,72 na 73
20190430_102602.jpeg
 
Back
Top Bottom