ili muwatoe inabidi Tottenham asivae jezi nyeupe. Timu zote zinazovaa jezi ya rangi nyeupe zimetolewa na ajax.Bonge moja la mechi!
Ajax wepesi tu.
Tutawaliza mbele ya familia zao kama man city
Daah Jomba umebadili gia angani!!!Second leg ndio utaona kipute kukali balaa
How do you feel bibie?Liwake jua inyeshe mvua ajax anakufa!
Magori wawili ya spurs kafunga Nani?Narudia kukwambia Ajax safari ya kutolewa ndio inaanza leo kwa kuchabangwa 2-1
Hao watoto ni wepesi mno hawajakutana na timu zenye High pressing watapoteana vibaya sanaGemu over wakuu duh awa watoto sijui wanataka nn
Naona umehamisha magoriBonge moja la mechi!
Ajax wepesi tu.
Tutawaliza mbele ya familia zao kama man city
Old format ya 70s bulazaaaaAngalia 71,72 na 73View attachment 1085134
Hii itakua Ajax ya wanging'ombeLiwake jua inyeshe mvua ajax anakufa!
Ugenini huwa hatuvai white! Jiandae kisaikolojiaili muwatoe inabidi Tottenham asivae jezi nyeupe. Timu zote zinazovaa jezi ya rangi nyeupe zimetolewa na ajax.
Madrid jezi rangi nyeupe kapigwa na ajax nyumbani kwao
Juventus jezi rangi nyeupe wamepigiwa na Ajax nyumbani kwao.
Tottenham nae na jezi zao za rangi nyeupe wamepewa dozi na Ajax nyumbani kwao.
Magoli sio "magori"Naona umehamisha magori
Hapana. Son ana kadi aliyoipata mechi dhidi ya City.
Utajua ww na familia yakoMagoli sio "magori"
Humfrey polepoloMagori wawili ya spurs kafunga Nani?
Itakuwa umestake mke maana sio Kwa kiherehere ichoUgenini huwa hatuvai white! Jiandae kisaikolojia
Kama Simba sio?Hao watoto ni wepesi mno hawajakutana na timu zenye High pressing watapoteana vibaya sana
Wewe usiyejua ndio sasa mjue na familia yako!Utajua ww na familia yako
Na tundu lisu sio?Humfrey polepolo
Hauna tofauti na mwita waitala weweWewe usiyejua ndio sasa mjue na familia yako!
Ccm mkubwa wewe!!
Hata kwa Real Madrid mlisema hivi hivi pia[emoji87]It has never happened
They won the old format cup
Not UCL
Kama dadiyo hajaolewa nikishamuoa ndio nakuwa na muweka mkekaniItakuwa umestake mke maana sio Kwa kiherehere icho