Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
ili muwatoe inabidi Tottenham asivae jezi nyeupe. Timu zote zinazovaa jezi ya rangi nyeupe zimetolewa na ajax.Bonge moja la mechi!
Ajax wepesi tu.
Tutawaliza mbele ya familia zao kama man city
Madrid jezi rangi nyeupe kapigwa na ajax nyumbani kwao
Juventus jezi rangi nyeupe wamepigiwa na Ajax nyumbani kwao.
Tottenham nae na jezi zao za rangi nyeupe wamepewa dozi na Ajax nyumbani kwao.