Wapiga kura wakiamini Wizi ndio unatoa Mshindi,Kuna siku tutalia na kusaga Meno.
Huu ni uchaguzi wa m-bunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania, sio wa baraza la uwakilishi Zanzibar, hivyo usimamiwa na tume ya taifa ya uchaguziHuo muhuri hapo chini nilitegemea uwe wa ZEC mkuu
Ulitegeme kitu tofaut ilhal Jecha yupo
Tarehe ipo nyuma ya karatasi.Wewe endelea kusubiri yenye Tarehe acha sie tuendelee kushangilia na ukishapata yenye Tarehe usisahau kuwa Tume si huru na kura zenu zimeibiwa!
Nimeona wazee wangu wanazunguka tu leo. Nikaenda Kijichi nikaona kijani zinapepea. Sahizi nimelala mapema.
CCM si mchezo.
Mbona hukusema haya kabla ya uchaguzi?Kuna kundi la Vijana waliotolewa Mwanza,walipelekwa kwa "kisingizio" kuwa wanaenda kwenye sherehe za Muungano,lkn toka 12/01 hawajarudi bara.
Hawa wote wamepiga leo kura huko Dimani na kumpa ushindi mbunge wa CCM...Hata picha zao tunazo.
Wakati mwingine unajiuliza,kwanini wasitangaze tu mfumo wa chama kimoja?Hizi ghalama za uchaguzi za nini?
Na unakuta Ijumaa mtu anakwenda msikitini kuswali na Jumapili mtu anasema mniombee
Jecha ni SI Unit
Ikiwa ni kiki au vyovyote vile lkn kumbuka refa siku zote unaweza kumzani kumbe makaratas mliyoyaandika ndiyo anayofuata na kumbe tena makosa lkn kadili siku zinavyokwenda si kweli akili zitakuwa zile za zamani ndipo utakaposema kwnn haikuwa vile lkn mungu akujalie hekima tena.Umepanic
Mbona jamaa kaeleza vizuri
Umemuelewa vibaya.
Cdm mlikalia kick poleni
Hajawahi kutumbuliwa, ilielekezwa apewa tuzo kwa kazi nzuri aliyoifanya.Kwani Jecha alipangiwa kazi nyingine ama ni ile ile?
Ya mwaka 1995 hayakuwa na tarehe?
Wapinzani washinde kwa sera za tetemeko, njaa, kauli za rais hazifurahishi, majipu yanaonewa, kuvunja line za vodacom, mtasubili sana hadi pale mtakapo kubali kutumia akili zenu.Lembeni, Mateves,kijichi,kiwanja cha ndege,kahama na Geita CHADEMA wameshashinda hata kabla ya uchaguzi, watangazwe tu washndi hakuna namna!
Wapinzani washinde kwa sera za tetemeko, njaa, kauli za rais hazifurahishi, majipu yanaonewa, kuvunja line za vodacom, mtasubili sana hadi pale mtakapo kubali kutumia akili zenu.
Umesahau Kata ya Vodacom*Chademma wameshinda kata Saba*
Kata ya Ukuta
Kata ya Udikteta
Kata ya Ben saa8
Kata ya Njaa
Kata ya Kata funua
Kata ya Tetemeko la kagera
Kata ya demokrasia
Cc Chakaza Daudi Mchambuzi
CCM CCM CCM CCM