*Chademma wameshinda kata Saba*
Kata ya Ukuta
Kata ya Udikteta
Kata ya Ben saa8
Kata ya Njaa
Kata ya Kata funua
Kata ya Tetemeko la kagera
Kata ya demokrasia
Cc Chakaza Daudi Mchambuzi
Wasishiriki how,wataonekana wanaogopa.Hakika ninepatwa na simanzi kubwa baada ya baadhi ya matokeo ya uchaguzi katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu kwa nafasi za udiwani na ubunge kule Dimani Zanzibar.
Kwa yaliyotokea kwa CCM kushinda viti vingi vya Udiwani na jimbo la Dimani kule Zanzibar ni wazi kuwa yalishaonekana na yalijulikana mapema hata kabla ya uchaguzi.Rafu zimechezwa na wapinzani kwa unyonge wameinamisha shingo kusubiri kisu kiwapitie.Mwelekeo ulishaonekana tangu awali.....
Mkurugenzi ambaye ndiye msimamzi wa uchaguzi katika jimbo amepata cheo hicho kama hisani ya ukada wake kutoka chama tawala na bado wapinzani wanapoteza muda wao na fedha zao kushiriki uchaguzi ambao mshindi tayari ameshajulikana..
Mpinzani umefungwa kamba mikono na miguu unaingizwa ulingoni upambane na mtu ambaye hajafungwa kamba na anasaidiwa na dola na bado una matumaini ya kushinda......haiwezekaniii.
Ushauri wangu wa kipuuzi kwenu Wapinzani Msishiriki uchaguzi wa aina yoyote waachieni hao wanaoona utawala wa nchi hii ni alfa na omega na kwamba wao ndiyo wana stahiki ya kutawala nchi hii milele.Kwani kwa kushiriki uchaguz ambao mshindi anajulikana ni kujitia matope mbele ya sisi wapiga kura;oneni sasa wanawaambia siasa zenu za kusambaza uchochezi zimewacost [HASHTAG]#NJAA[/HASHTAG] [HASHTAG]#DEMOKRASIA[/HASHTAG] ......[HASHTAG]#MWAFAA[/HASHTAG]
Yangu ya kipuuzi ni hayo
Tchao
Wapiga kura wakiamini Wizi ndio unatoa Mshindi,Kuna siku tutalia na kusaga Meno.
Kwahiyo!!Kuna watu huwa wanajaribu kufananisha ngozi nyeupe na nyeusi..huwa nawaona kama machizi...apa ndo uone tofauti ya ngozi hizi mbili
Wana zaidi ya hilo? Wao watembelee masoko, misiba JPM ana shughuli nyingi za kuwatumikia wananchi wake. Wao hawana kaziWapiga kura wakiamini Wizi ndio unatoa Mshindi,Kuna siku tutalia na kusaga Meno.
Wewe ulitegemea nani atashinda? Kama yule mwingine alishinda mchana kweupe wakaweka mpira kwapani, sembuse huu mdogo?Haya we usiyevuta bangi tupe matokeo basi ya machadema.
Kwani kabla ya ushindi huu, Dimani lilikua jimbo la chama gani vile? Sasa kabla ya Leo ina maana hao vijana wa Mwanza walikuja pia? Gebwe we!Kuna kundi la Vijana waliotolewa Mwanza,walipelekwa kwa "kisingizio" kuwa wanaenda kwenye sherehe za Muungano,lkn toka 12/01 hawajarudi bara.
Hawa wote wamepiga leo kura huko Dimani na kumpa ushindi mbunge wa CCM...Hata picha zao tunazo.
Wakati mwingine unajiuliza,kwanini wasitangaze tu mfumo wa chama kimoja?Hizi ghalama za uchaguzi za nini?
Na unakuta Ijumaa mtu anakwenda msikitini kuswali na Jumapili mtu anasema mniombee
Mrudisheni Ben eight o'clock kwanza, hata ma members wenu wamewashtukia! Machadema ovyo kabisa!Wewe ulitegemea nani atashinda? Kama yule mwingine alishinda mchana kweupe wakaweka mpira kwapani, sembuse huu mdogo?
ok kama hujakurupuka ni hadithi nzuri kwa wana mapinduzi.Jamani huku Arusha tayari CCM wameshinda matevesi nasikia na ngarenanyuki pia CCM wameshinda