Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

Ukweli ni kwamba vyama vya upinzani vimezoea kupinga kila kitu na baadaye huwa wakwanza kulalamika.
Kwa maoni yangu ni kwamba haya yote wameyataka wenyewe na hawana wa kumlalamikia.
Wakati wa mchakato wa rasimu ya katiba mpya, moja ya hoja ambayo ilikubalika ni pamoja na kuwa na tume huru.
madaraka ya rais n.k.

Upinzani ungekuwa makini hivi sasa tungekuwa na katiba ambayo kwa asilimia kubwa ingekidhi mahitaji yao. Mapungufu yaliyomo yangeweza kuwasilishwa bungeni kama amendment kwenye katiba mpya.

Kile kitendo chao cha kukataa moja kwa moja hoja nyingi kwenye rasimu ya katiba mpya[ hoja ambazo zingerekebishwa] ndiyo maana bado tunaendelea na katiba ya zamani ambayo nayo pia wanailalamikia.
Hivyo waache kulia lia kama watoto wadogo ambao hawaeleweki nini wanataka hasa.
 
Mbona Tume wanayo matokeo tokea juzi kabla hata kura hazijapigwa? Kilichofanyika leo ni kuhalalisha matumizi ya fedha za uchaguzi kuwa uchaguzi ulikuwepo

Naona Umekalia msumari wa moto ndio maana yanakutoka haya vumilia tu!
 
Ni kama vile unaangalia mechi ambayo unadhani ni live kumbe ni recorded na Tume na Timu mojawapo walishaiangalia live yake hapo kabla kisha wanawachora tu mavyodhani ni live

Kawaulizeni Mawakala wenu vituoni walienda kufanya nini acheni kuweweseka! Matokeo yanahesabiwa vituoni wakiwa wanaona na copy ya matokeo wanapewa au hawajui kuhesabu?
 
KILIO CHETU NI TUME HURU YA UCHAGUZI TU, PIA POLISI WAFANYE KAZI YAO NA SIYO KUNYANYASA WAPIGA KURA AU KUPENDELEA UPANDE MMOJA NA SI VINGINEVYO!!!!!!!!!!!

Kilio chenu ni cha Kinafiki kwa kuwa Siku zote huwa kinaanza wakati wa kutangaza Matokeo si kabla
 
Kilio chenu ni cha Kinafiki kwa kuwa Siku zote huwa kinaanza wakati wa kutangaza Matokeo si kabla
Kilio chenu ni cha Kinafiki kwa kuwa Siku zote huwa kinaanza wakati wa kutangaza Matokeo si kabla

Naomba nisaidie huenda nimesahau. hivi zoezi la kutafuta KATIBA MPYA NA ILE TUME YA WARIOBA ilikuwa ni wakati wa kutangaza matokeo ya uchaguzi upi yale!!!!!!!!!!!!!
 


CCM WAMEJISAHAU KATIKA WIZI WAO, HAKUNA HATA KURA MOJA ILIYOHARIBIKA ??? TEHTEHTEHHHHHH
 
WENZETU WA JIMBO LA DIMANI WALIPOPIGA KURA HAWAKUHARIBU HATA KURA MOJA. DUU WAKO MAKINI KWELIKWELI
 

Attachments

  • kura.jpg
    45.2 KB · Views: 84
Walioisoma ni nyie wahafidhina, nipo na maisha yangu yapo murwa na hata hakuna nzi wa kunibabaisha!
...narudia ccm ni janga kwenye taifa hili imejaa ushetani!
Kitendo cha kusema CCM ni janga, hiyo tu inaonyesha umeisoma namba kimya kimya. Tulia hivyo hivyo mkuu.
 
hiyo kata ya kimwani ilikuwa imechukuliwa na CUF kwenye uchaguzi mkuu!. leo hii katika uchaguzi mdogo imechukuliwa na CCM. Nashangaa tundu lissu anaposema hawajapoteza hata kata moja! Inamaana ndo kusema chadema washajiondoa ukawa????? kwa nini CUF wakipoteza chadema wanasema hawajapoteza, wakati walituahidi watashirikiana kwa kila kitu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…