Hapo Hangaya hana lawama kubwa yeye kafanya alicho paswa kufanya, kupeleka tuhuma mahakamani jambo ambalo ni sahihi uozo uko mahakama yetu na police kupokea kesi ya mchongo kama hiyo. sioni kama chief Hangaya ana kosa katika hili hiyo kesi elitegenezwa na mwendazake pamoja na police.Hapo ndipo ninapomwona Hangaya kuwa ni miongoni mwa Ibilisi.
Huwezi kuufurahia na kuunga mkono ushetani, usiwe sehemu ya utawala wa shetani. Siku yaja, Mungu atadhihirisha ukuu wake ambapo shetani Hangaya na milki yake yote watajua wanayemtumikia hana mamlaka juu ya Mungu atoaye haki kwa wakati ufaao.
Zaidinya kuripoti kwa Kingai je taarifa hizi za ugaidi mlishirikisha taasis zingine za Usalama kama Tiss? Hapana. Operesheni yenu mlimjulisha RPC wa Kilimanjaro? Hapana. Vitu vya kupika vinakuwa na mapungufu mengi.Huyu Denis Urio ndiye aliyeripoti Mbowe kumtuma Vijana wa kufanya Ugaidi. Kwa Sababu ni Homeboy wa Mbowe. Akaenda kuripoti Polisi kwa Kingai. Mbona hajaletwa Mahakamani kuja kuzibitisha Ushiriki wake? Aje na Voice note, Video na Picha walizokaa na Mbowe. Denis Urio yuko wapi? Shahidi Muhimu na Muasisi wa hii Kesi? Naona wanakuja Shahidi tuu wanasema Kila kitu Sifahamu. Lijenje Yu Wapi? Hivi maana Forensic ni Nini? Mbowe hakukukamatwa kwa Sababu ya Forensic? Campaign za Uchaguzi kafanya, Nec walimpitisha Gaidi kugombea Ubunge? Najiuliza mengiiii
Chief alijua nibya Kupika. Ilitakiwa ikataliwe kabisa.Hapo Hangaya hana lawama kubwa yeye kafanya alicho paswa kufanya, kupeleka tuhuma mahakamani jambo ambalo ni sahihi uozo uko mahakama yetu na police kupokea kesi ya mchongo kama hiyo. sioni kama chief Hangaya ana kosa katika hili hiyo kesi elitegenezwa na mwendazake pamoja na police.
Hangaya asinge gomea chama chake na police, ila jambo zuri alilo fanya nikupeleka hi kesi mahakamani mapema ili kuonyesha uonzo wa chama chake na uonevu wa police, anae faidi katika hi kesi ni Mbowe na Chadema kiujumla serikali inapoteza credibility katika jamii.Chief alijua nibya Kupika. Ilitakiwa ikataliwe kabisa.
Na uozo uneonekana kweli kweli. Hadi wasiojulikanaHangaya asinge gomea chama chake na police, ila jambo zuri alilo fanya nikupeleka hi kesi mahakamani mapema ili kuonyesha uonzo wa chama chake na uonevu wa police, anae faidi katika hi kesi ni Mbowe na Chadema kiujumla serikali inapoteza credibility katika jamii.
Nataka ukubali kwamba chief Hangaya ana utu na ni Rais mzuri asie penda kuonea watu ila amezungukwa na watu wenye roho mbaya na wanyoonya damu,Na uozo uneonekana kweli kweli. Hadi wasiojulikana
Huyu hawezi kufanya kazi serikalini ubora wake utapotea anashine kwasabb anatetea haki na uonevukibatala is a very smart advocate. Nashauri Mamlaka ya uteuzi umteue afanye kzi za Kitaifa.
Hapo ndipo ninapomwona Hangaya kuwa ni miongoni mwa Ibilisi.
Huwezi kuufurahia na kuunga mkono ushetani, usiwe sehemu ya utawala wa shetani. Siku yaja, Mungu atadhihirisha ukuu wake ambapo shetani Hangaya na milki yake yote watajua wanayemtumikia hana mamlaka juu ya Mungu atoaye haki kwa wakati ufaao.
Mbowe ni tishio la shibe yaoMbowe ni invester ndani na nje kwanini mnasumbua wawekezaji kwakesi za ujinga!! Policcm analeta kibri mahkaman kwann? Tatizo lakuajiri feliaz hilo
Lkn wakati huo serikali itakuwa imedharirika kwerikweri au nasema uongo ndugu zangu, eti Kingai na Jumanne si kweri ndg zanguMbona hao makomandoo kina Ling'wenya, Adamoo na Bwire wanamfahamu physically na kwamba ni Lt wa JWTZ. Hii kesi itaisha katika namna ya ajabu sana.
Hawezi kwenda kusimamia makesi ya michogo ya kukandamiza raia wasio na hatia na kulazimishwa kufungwakibatala is a very smart advocate. Nashauri Mamlaka ya uteuzi umteue afanye kzi za Kitaifa.
Hata Mpwa wa Magufuli juzi kasema hivyo hivyo. Ukiwa na marafiki wa hovyo na wewe unakuwa wa hovyo tu.Nataka ukubali kwamba chief Hangaya ana utu na ni Rais mzuri asie penda kuonea watu ila amezungukwa na watu wenye roho mbaya na wanyoonya damu,
Maana ndiyo dhambi ngumu mwanadamu kuitenda hapa duniani.Ukiua mtu umewasha bluetooth on popote unamulikwa.
Mtu mwenye akili timamu hawezi ua mtu,sio KILA ukoo damu zao upotea bure.