Huyu Denis Urio ndiye aliyeripoti Mbowe kumtuma Vijana wa kufanya Ugaidi. Kwa Sababu ni Homeboy wa Mbowe. Akaenda kuripoti Polisi kwa Kingai. Mbona hajaletwa Mahakamani kuja kuzibitisha Ushiriki wake? Aje na Voice note, Video na Picha walizokaa na Mbowe. Denis Urio yuko wapi? Shahidi Muhimu na Muasisi wa hii Kesi? Naona wanakuja Shahidi tuu wanasema Kila kitu Sifahamu. Lijenje Yu Wapi? Hivi maana Forensic ni Nini? Mbowe hakukukamatwa kwa Sababu ya Forensic? Campaign za Uchaguzi kafanya, Nec walimpitisha Gaidi kugombea Ubunge? Najiuliza mengiiii